WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo Muleba Kagera nije Songea au Mbiga Mkoa wa Ruvuma idara secondary 0625914839
 
Njoo sumbawanga nije , iKWIRIRI-RUFIJI, PWANI, KIBAHA, DAR ES SALAAM, MOROGORO AU MBEYA- nicheck kwa 0752279711 anytime
 
Serikali kupitia wizara ya Tamisemi inapenda kuwajulisha watumishi wote wanaosubiri uhamisho kuwa uhamisho huo umefutwa, kwani utaratibu uliokuwa unatumika kuwahamisha watumishi wa umma kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine umebainika kuwa unakasoro. Hivyo wizara ipo katika maandalizi ya taratibu nyingine za watumishi kuhama na pindi zitakapo kamilika watumishi watajulishwa. Source; intelijensia ya utumishi.
 
Njoo kilwa masoko ,idara ya sekondari,,Dogo aje kibaha,bagamoyo,kisarawe au mkuranga
 
Habari zenu walimu.....kwa anaetaka kwenda Tanga halmashauri ya Pangani mjini ana PM but awe anatoka Dodoma
 
Wadau wa JF habari naomba mchango wa mawazo namna ya kufanya.
Mimi ni mtumishi katika kada ya Afya nimeajiriwa katika mkoa wa Tabora kwa Mkurugenzi mtendaji Wilaya ya Sikonge mwaka 2015 mwezi wa nne Kama Tabibu Msaidizi daraja la II(Clinical Assistant II) kabla sijamaliza chuo nilipungukiwa ada ya masomo nikaenda kusaini mkataba Halmashauri ya Wilaya Kigoma kwa masharti kwamba nitakapomaliza gu nitalazimika kuajiriwa na serkkali ktk wilaya hiyo tena nitafanya kazi miaka 5 ndani ya Wilaya hiyo bila kuhama Kwamba Halmashauri itapeleka taarifa kwenye mamlaka za Ajira ili ajira yangu Itokee hapo,bahati mbaya tukamaliza ajira zikatoka wakati hawajafanya hivyo ikatokea wilaya ya Sikonge huku niliko sasa ajira ilitoka mwezi wa kwanza January nikaambiwa usiende kuripoti Sikonge tunaenda wizarani ili Wakubadilishie nikakaa toka Januari,Februari na machi nikaona huu ni ujinga nitakosa ajira kote maana mwisho wa kuripoti ulishaisha huku haijabadilika,mwezi wa nne nikaondoka kurepoti hapa nilipo sasa Sikonge nimepata tu barua ya Ajira nikatumiwa SMS kuwa post imebadilika sasa ni Kigoma huku nilishajaza taarifa zangu Sikonge Kigoma wakaniambia uje na huku tukufungulie File ili tushindane nao wa Sikonge mimi nikaogopa mambo ya Mbeleni.

Sasa mwaka jana nikaandika barua kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Kigoma kupitia kwa Mkururugenzi wangu wa Sasa (Sikonge) anipe utaratibu wa kwenda kutimiza mkataba Wangu na Yeye lakini Nilijibiwa na Mkurugenzi wangu wa sasa kwa barua kuwa Kuhama mpaka miaka 3 tena kwa kubadilishana.

NAOMBENI USHAURI MIMI NATAKA KURUDI(KUHAMA) KWETU KIGOMA HUKU SIJAKUKUBALI SANA NIANZIE WAPI NIFATE KIPI KWA SABABU HIYO ILI NIPATE TRANSFER? NA NAKALA YA MKATABA BADO NINAYO.

ASANTENI
 
Ni mwl wa shule ya msingi iliyoko nzega Tabora natafuta mwl wa kubadilishana toka
Rungwe
Mbozi
Kyela
Mbeya mjini
Mbeya vijijini
Mbalali aliyetayari tuwasliane 0786960626
 
Nahitaji mtumishi wa kubadilishana naye ualimu sekondari aje wilaya mpya kigamboni mm niende kibaha mjini tuwasiliane kwa namba 0714962984
 
Back
Top Bottom