WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
nipo itilima simiyu namtafuta mwalimu toka mkuranga au kubaha (pwani),idara sec aliyetayari ani pm pleease au 0785294160
kuna jamaa yupo tamisemi ko haitachukua muda mambo yatakuwa poa jamani kwa aliye tayari
 
Natafuta MWALIMU wa kubadilishana nae kituo cha kazi
MWALIMU shule ya msingi,kutoka wilaya yoyote mkoa wa kilimanjaro ..
Mimi nafundisha wilaya ya bumbuli Tanga..mawasiliano..0764550791 na 0652586153
 
Njoo Tanga - korogwe nije mbeya,Iringa au Njombe. IDARA SEC: Simu 0769-058586
 
Njoo, Tanga - Korogwe nije Mbeya - Mbarali, Rungwe, Kyela, na sehemu nyingine za mkoa wa mbeya. Idara sec. cont: 0769 058586
 
kuna ndugu yangu anatafuta mwalimu wa kubadilisha nae yuko Tarime DC , anataka kwenda Geita DC, Kahama au Geita mji. Ukitaka namba zake za simu ni pm.
 
Njoo LUSHOTO Tanga idara ya msingi nije Kilimanjaro wilaya yoyote 0758121353, 0684533627.
 
Wa kagera hamtaki kurudi kwenu njoo Muleba nije Songea idara Secondary
 
Njoo mbeya nafundisha mbeya vijijin eneo mbalizi hapa hapa. Aliye tayari tubadilishane tanga, moro ,pwani ,dar ,kilimanjaro ,arusha . 0655538380 idara msingi aliyeko tayari tubadilishane
Huwez kusogea hapa nzega ni rahis kumpata mwingine wa kubadilishana kama utaridhia tufanye mchakato
 
Back
Top Bottom