WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njooooooo kigoma (v) nije dar halmashatur yeyote.
Njooooo Rombo nije mbeya secondary
Tune 0655302098
 
Kuna mwalimu wa shule yamsingi yuko Tunduru anatafuta mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi kwa aliyeko tayari tokea mbinga, songea na nyasa tuwasiliane Pm.
 
Wanaotaka kubadilishana kituo cha kazi njoo Tanga mjin nije Mwanza mjini au Magu au Misungwi...idara ya elimu sekondari
Tuwasiliane 0712709192
 
Mimi ni mwalimu wa Primary School Niko Simiyu Halmashaur ya Bisega naomba kuhamia Kagera wilaya yoyote ikiwezekana Missenyi njoo inbox tuwasiliane
 
Back
Top Bottom