WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
NJIA IPI RAHISI KUBADILISHA KITUO CHA KAZI?
1. Kabla au baada ya kuripoti kituo cha kazi?
2. kutoka nje ya mkoa/wilaya au kubadirisha kwa ndani ya mkoa/wilaya?
3. Ni taratibu zipi zinahitajika kufuatwa??
 
Njoo tanga jiji nije Moro manispaa,Chalinze au mlandiz.sec
Call 0713142568u
 
Mimi Niko ILEJE Songwe natafuta Mwalimu wa kubadilishana naye kutoka Morogoro na wilaya zake
 
Back
Top Bottom