WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mimi ni mwalimu idara ya sekondari nipo Iringa manispaa, nataka nibadilishane na mwalimu wa dodoma manispaa. Kwa ambae yuko tayari tuwasiliane inbox. Ahsanteni
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani
sekondari ! 0712272365
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani
sekondari ! 0712272365
 
Mm ni mwl msingi nipo tabora wilaya ya urambo nahitaji mtu wa kubadilishana nae aje urambo tabora mm nije makambako no 0629034914
 
Mwalim nipo singida sekenke primary nahtaj kuja arushaa shule yoyotee ya Primary tcher. 0743955630
 
Mwalimu sekondari nipo kiomboi iramba mjini nataka nije mbarali mbeya wewe uje huku 0762078708
 
mwalimu wa kubadilishana idara ya elimu msingi aje Mtwara Newala nije RUKWA Sumbawanga vijijini 0752928382
 
Back
Top Bottom