WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
jamani vibali lini vitatoka kwa yoyote aliyepata tetesi au tuanze upya? na je huko halshauri tutaaainiwa ?
 
Njoo chalinze, idara secondary aje mvomero

Mawasiliano 0785090687 au 0682052641 au 0753442198
 
Njoo Iringa, nije RUKWA wilaya ya NKASI.
Idara secondary
 
Back
Top Bottom