WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo Kilimanjaro aje Pwani Kibiti.Idara ya Sekondari
mawasiliano 0689305144.
 
Njoo Kilimanjaro aje Pwani Kibiti.Idara ya Sekondari
mawasiliano 0689305144.
 
Ivi mnapata kweli uhamisho walimu?naona kuna mtu ana mwaka sasa analalama hata wa kubadilishana nae hampati.
 
Njoo Moshi-kibosho umbwe nije Arusha Municipal.... Idara ya msingi. 0652802692
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
 
Njoo mwanga kilimanjaro nije Morogoro, - Mvomero, kilosa, gairo au Morogoro vijiji Elimu Sekondari 0652023033
 
Njoo halmashauri ya mji tarime nije babati mji, morogoro manicpaa, dodoma manicpaa, arusha jiji, korogwe mji, tanga jiji 0766765231
 
Njoo halmashauri ya mji tarime nije babati mji, morogoro manicpaa, dodoma manicpaa, arusha jiji, korogwe mji, tanga jiji 0766765231
 
Njoo halmashauri ya mji tarime nije babati mji, morogoro manicpaa, dodoma manicpaa, arusha jiji, korogwe mji,tanga jiji 0766765231
 
Njoo halmashauri ya mji tarime nije babati mji, morogoro manicpaa, dodoma manicpaa, arusha jiji, korogwe mji, tanga jiji, dodoma manicpaa 0766765231
 
Njoo Chalinze mjini nije Morogoro Mjini. Elimu Msingi
 
Niko BUKOBA MANISPAA idara ELIMU sekondari nataka kuja DSM.Wa kubadilishana naye tunaweza kuwasiliana tafadhali.
 
  • Thanks
Reactions: M12
Back
Top Bottom