Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shule gani Mkuu kwenjugo Sec au konje sec njoo kigoma nije Handeni nchk kW 0753533877Habari Wadau !
NIko Handeni - Tanga , idara ya Sekondari natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi, Yeye aje Handeni nami niende Mbozi - Songwe.
Shule niliyoko iko barabarani (barabara kuu ya Handeni to Korogwe) kutoka hapa tulipo mpaka Dar - Es - Salaam ni masaa matano tu na nauli yake ni Tsh. 12,000/=
Pia gari ziko kampuni zaidi ya mbili na zinafanya Safari za Handeni to Dar na Dar to Handeni mara tano kwa siku.
Yaani ziko gari za saa kumi na mbili asubuhi, saa mbili asubuhi, saa nne asubuhi, saa sita mchana na saa tisa jioni.........
Kampuni mbili maarufu Ajeez na Feruzi pia iko Air force n.k,
Pia ni jirani na Morogoro, njia nzuri ya kwenda Moshi na Arusha.......
KARIBUNI SANA KWA WENYE HITAJIO LA KUJA HANDENI NAMI NIENDE MBOZI - SONGWE.
Upo kata ganNataka wa kuja wilaya ya Chemba kutoka wilaya ya Bahi tubadilishane mimi niende wilaya ya Bahi kwetu. Akina njore hampo humu. Simsaka fyuka na kayi wuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shule gani Mkuu kwenjugo sec aau konje sec njoo kigoma nije Handeni nichk 0753533877
Njoo mulebaNJOO ROMBO KLIMANJARO NIJE BUKOBA KAGERA IDARA SEKONDARI.
Yes kakonko mkuu Wilaya mpya toka KibondoKakonko?
Haina shida mkuuKakonko Apana nahitaji Kasulu only
Njoo kigoma mwl nije bariadinjoo bariadi -itilima simiyu nije masasi idara sec
0785294160
0628708294