WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Nataka kuja mbeya vijijini,wewe njoo Tukuyu-kiwira,idara secondari-0765432283
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari! 0712272365
 
Karibu sana wilaya Lushoto Tanga nije

1. Korogwe
2. Hai Kilimajaro
3. Same
4. Mwanga
5. Moshi v
6. Rombo
7. Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Njoo Arusha Manispaa, aje Dar(Kinondoni/Ilala) au mkoa wa Pwani(Kibaha/Bagamoyo)

Idara: Secondary

Karibu PM.
 
Karibu sana wilaya Lushoto Tanga nije

1. Korogwe
2. Hai Kilimajaro
3. Same
4. Mwanga
5. Moshi v
6. Rombo
7. Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353
 
Kuna Mwl. anataka kubadilishana kituo cha kazi na mwl. yeyote kutoka TANGA (Jiji, Korogwe, Lushoto, Handeni, Muheza, Kilindi). Yeye yupo Halmashauri ya wilaya ya Itilima (7 km. kutoka makao makuu ya mkoa wa Simiyu) Idara ya Sekondari. Mawasiliano: mawazo.kabago@gmail.com
 
Back
Top Bottom