WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Badilishana kituo na mwalimu idara ya msingi bagamoyo mjini,uwe Dsm....kwa aliye serious aje DM na offer anayotaka.
 
Njoo Manyoni-Itigi nije...
DSM
MOROGORO
RUFIJI
IKWIRIRI
KIBITI
KIBAHA
CHALINZE
BAGAMOYO
MIKESE
AU PWANI NA MOROGORO WILAYA YOYOTE.
SEC...0689534800
 
Njoo bukoba manispaa nije ilemela au nyamagana ,nije dodoma manispaa au chamwino au nije morogoro manispaa
 
Mwalimu wa sekondari Njoo bukoba mjini nije moro,mbeya,dom,chamwino,iringa au mwanza jiji na ikiwezekana ilemela au nyamagana
 
Back
Top Bottom