WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo Kahama(Ushetu) nije Dodoma mjini,Chamwino,Morogoro mjini,Mahenge,Iringa,Njombe,Mufindi,Uwanging'ombe,Mbeya jiji,Tukuyu....idara Sec nicheck inbox.
 
mbeya,mbalali,rungwe na busokelo mje mafinga...idara msingi ...0759795604
 
Niko Bumbuki nahitaji aliyeko Tanga mjini au vijijini
Korogwe
Muheza
Mkinga
 
Karibu sana wilaya Lushoto Tanga nije
1. Korogwe
2. Hai Kilimajaro
3. Same
4. Mwanga
5. Moshi v
6. Rombo
7. Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353
 
Karibu sana wilaya Lushoto Tanga nije
1. Korogwe
2. Hai Kilimajaro
3. Same
4. Mwanga
5. Moshi v
6. Rombo
7. Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353
 
Back
Top Bottom