WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Jaman kwa anayejua uhamisho kwa mikoa iliyobaki Kama mwanza ,awamu ya tatu Upo au ndo bhas Tena ?
 
Njoo Halmashauri ya Kakonko,Kigoma nije Morogoro, Dar es alaam Au Moshi. Idara Ya s/Msingi.
 
Huu uzi sio kwa ajili ya kukejeli, nadhani pia sio lazima uchangie kama huna kitu!
kuhama hakuna maana kuwa watu wanafuata maghorofa au miji! Tulia wenye kuhama watasema
 
Back
Top Bottom