WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Natafuta mwalimu anayeweza kubadilishana kituo cha kazi na mke wangu.. Wife yuko Lindi anataka kuja Mbeya iwe vijijini au Mbozi sawa au Kyela idara elimu sekondari BIOS/GEOG
Mawasiliano 0715776633 namba yangu hiyo
 
Nipo kigoma manispaaa mjini kabisa masomo physics kwa anaetaka kuja huku nambie upo manispaa gani tufanye kubadilishana.
 
Back
Top Bottom