WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Husika na ombi lililopo kwenye kichwa cha uzi huu. Mwalimu wa shule ya Sekondari ya Nyabisindu kata ya Kabanga anaomba kubadilishana kituo cha kazi na Mwalimu Mtanzania yeyote anayependa kwenda Ngara kutoka mikoa ya Tanga,
, Pwani Morogoro, Iringa, Mbeya au Dar es Salaam. Kwa mawasiliano zaidi piga 0768756525. Nawasilisha.
 
Mkuu hivi serikali haina msaada katika hili?. walimu wengi unakuta wanahangaika wenyewe bila msaada. serikali inabidi iangalie jinsi ya kuwasaidia wenye shida ya kuhama la sivyo walimu wataendelea kuacha kazi na watoto wetu kukosa wa kuwafundisha. mia
 
Kaka na best zangu science teachers wa2 hadi sasa wameacha kazi.wao walikuwa private then wakaenda serikalin lakin baada ya kufika huko vituon.kila mtu kachoka.wamerud private zao.serikal itaendelea kukosa walimu hasa wa science kwan kumpeleka mwl wa science akakae porini huku akijua mjin anatakiw vilevile ni ngumu.hata kama mtu anapenda kufanya kazi gvt lakin mwenyew atashindwa.serikal na wadau wengine wafanye bidii kuboresha mazingira ya shule za maporin ili walimu wasikimbie.
 
kwa Mwl yeyote anayetaka kufanyia kazi mkoa wa mtwara aliyeko kanda yeyote ila isiwe kusini tuwasiliane. Ni sekondari.
 
Musoma sehemu gani mkuu,mi kwetu kukirango kamgegi ila nafunndisha huku mkuranga
 
Mimi Mwl Nehemia S.Isack nipo idara ya elimu ya msingi MEATU natafuta mwalimu wa kubadilishana naye.Mimi nije IGUNGA yeye aje MEATU pia hata kama anataka aje BARIADI au MASWA haina shida.Tuwasiliane kwa namba zifuatazo: 0764581301,0786589698,0757751005 na 0787181383 NAWATAKIA KAZI NJEMA.
 
Mimi Mwalimu Npo TUNDURU natafuta mwalimu anayetaka kuja tunduru awe anatokea mbeya, iringa, mbinga, songea. kwa mawacliano 0682136570.
 
Ni mwl wa sekondari. niko kijiji cha SEMENI km 15 toka TUNDURU mjini kwenda LUKUMBULE.
 
Back
Top Bottom