WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Wana jamii forum kwa mwalimu yeyote wa shule ya msing anayetaka kuja HAI mkoa wa kilimanjaro na mimi niende DAR awasiliane na mimi kwa 0765101305
 
kwa mawlimu wa shule ya masing anayetaka kubadilishana aje HAI kilimanjaro nami Niende DAR awasiliane kwa 0765101305
 
mwalimu wa sekondari aliopo halmashauri ya wilaya ya KILOMBERO aje wilaya ya KILWA
 
tunatafuta kazi walimu (2) wa history degree holder, kwa wamasiliano zaidi 0756709828, 0752063741.Tuko tayari kufanya kazi yeyote.
 
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi MUSOMA VIJIJINI,natafuta mwalimu wa kubadilishana nae anayefanya kaz katika mikoa ya NJOMBE au IRINGA yeye aje musoma.
 
Mimi ni mwalimu wa shule
ya msingi MUSOMA VIJIJINI,natafuta mwalimu wa kubadilishana nae
anayefanya kaz katika mikoa ya NJOMBE au IRINGA yeye aje musoma.

funguka ticha,unahitaji ubadilishane nini na huyo mwl mwenzio kutoka njombe/ir?..(mke)
 
Nahitaji mwalimu wakubadilishana naye anayeweza kuja fanya kazi morogoro mjini,atoke Njombe au Iringa Mjni
 
anayetaka kubadilishana kituo kuja masasi,yeye atoke songea au namtumbo,mwl wa sekondari
 
..., hivi ni kweli kuwa ukiwa wewe ni mwanandoa 'KE' unahaki ki-sheria kupangiwa kituo cha 'ME' wako anakoishi?
 
mimi nipo KILWA,Mwalimu yeyote wa sekondari anayetaka kuja kilwa tubadilishane.
 
Back
Top Bottom