WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
mwalimu degree holder anayetaka kuja njombe mjini aliyeko dar tuwasiliane 0713971478
 
mwalimu anayetaka aje njombe mji mwenye degree mi niende dar es salaam # 0713971478
 
Mimi mwalimu wa sekondari niko wilayani tunduru- ruvuma natafuta mwalimu wa sekondari wa kubalishana nae kituo cha kazi. awe anatoka mbinga, songea, njombe morogoro au mbeya. kwa mawasiliano zaidi tumia 0682136570.
 
Nko Newala kwa yeyote aliyeko mkoa tofaut na Mtwara tuwacliane.
 
Natafuta mwalimu wa kubadilishana naye aje karatu mjini. Atoke arusha manispaa,meru au Arumeru. Awe wa shahada au stashahada.
.Aliye tayari ani PM
 
Back
Top Bottom