WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwl wa SINGDA,BIHARAMULO,MWANZA anayependa 2badilshane ki2o cha kaz ani pm.niko wlya ya bahi idara ya sekondari.
 
Ebu tulia huko huko,kwan hapo ulipo co tanzania?tatizo walimu mna viherehere vya kuhama sana nyie!
 
nafanya kazi wilaya ya rorya MARA (sekondari) natafuta mwl wa kubadilishana kituo kutoka sehem zifuatazo serengeti, musoma mjini, tarime, mwanza. kama we unatoka maeneo tajwa na uko tayari kufanya kazi RORYA tuasiliane kwa no 0765030444
 
Natafuta mwalimu ambaye yuko tayari kufanya kazi RORYA mkoa wa MARA (sekondari) kutoka maeneo kati ya haya; serengeti, tarime au musoma mjini . Mawasiliano ni 0765030444
 
natafuta mwalimu wa shule ya msingi wa kubadilishana naye kituo cha kazi aliyepo dar aje hai kilimanjaro
mawasiliano 0765101305
 
Kwa mwl wa shule ya msing aliyepo dar anataka kuja HAI kilimanjaro awasiliane na mimi kwa 0765101305
 
Habari zenu ndugu wadau,mimi ni mwalimu wa sekondari niliyeajiriwa hivi karibuni Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe,,,naomba kubadilishana na Mwalimu aliyepo Morogoro mjini,Bagamoyo mjini,Kibaha Mjini au Dar es salaam.namba zangu ni 0757920263 au 0718073753:
 
Mkomawatu

hv kile kitabu cha janga sugu la wazawa location yake ni Ukerewe?
ID yako inanipa sababu ya wewe kuchapa raba.!
 
Komaa huko huko bhana, kuna mihogo na viazi vya kufa mtu. Pia samaki na machungwa!
 
Dah mkuu umetisha unataka mjini tu,njoo NKASI,mimi nije ukerewe mkuu.
 
mkuu me nko mwnz jiji naweza badilishana na wewe kama utaninunulia bandeji box 10, plasta box 50 na unipe sh.10Million kwa ajili ya RISK ALLOWANCE, pia usisahau kuninunulia PANGA la kwenda nalo shule.
 
Mkomawatu

hv kile kitabu cha janga sugu la wazawa location yake ni Ukerewe?
ID yako inanipa sababu ya wewe kuchapa raba.!

dah!,,mkuu wangu ndio hivyo hizo mambo bado zipo kimtindo!
 
Ww fundisha kwanza hukohuko,kwanza hauna uzoef kazn,pata ujuz huko villa kwanza!
 
Mimi ni mwalimu wa sekondari ajira mpya mwaka huu nipo nyamagana mwanza ,nataka mwalimu wa kubadilishana nae kutoka kibaha pwani ama dar es salaam manispaa ya kinondoni. Naomba tuwasiliane kwa ambaye yuko tayari 0763427144.
 
Mimi ni miongoni mwa walimu tuliopangiwa ajira mpya 2012/2013,natafuta mwl wa kubadilishana nae mimi nipo Sengerema Mwanza nafundisha secondary kwa waliopo wilaya ya Ilemela au Nyamagana wanaopenda kuja sengerema tuwasiliane kwa simu no 0752530592
 
Habari zenu ndugu wadau!,,mimi ni mwalimu wa shule ua msingi huku Geita,naomba kubadilishana na mwalimu yeyote aliye mkoa wa Pwani au Morogoro.
 
Back
Top Bottom