WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Habari zenu ndugu wadau!,,mimi ni mwalimu wa shule ya msingi huku Geita,naomba kubadilishana na mwalimu yeyote aliye mkoa wa Pwani au Morogoro.
 
Nahitaji mwl tubadilishane kituo cha kazi aje musoma mi niende lindi
 
Itakua ngumu kumpata,nenda kwa mwajiri wako na uombe uhamisho toa hata sababu za uongo.
 
Kama upo Nyankumbu au Kalangalala au eneo karibu na hilo sema, kuna mdau anataka kuja huko bahati mbaya yupo Mtua- Iringa.
 
Jamani please help me nataka kurudi mikoa iringa, mbeya, morogoro au karibu na hiyo, Mimi mwalimu wa grade A nimepangiwa Tabora vijijini vijijini ila Iringa ndo maskani. 0712025652
 
Mimi mwalimu wa sekondari niko wilayani tunduru- ruvuma natafuta mwalimu wa sekondari wa kubalishana nae kituo cha kazi. awe anatoka mbinga, songea, njombe morogoro au mbeya. kwa mawasiliano zaidi tumia 0682136570.

mie nipo muheza nataka kwenda morogoro mjini 0718547517
 
Mie nipo mwanza nyamagana nataka kuja kibaha au kinondoni dar ambaye yuko tayari 0763427144. Ni mwalimu sekondari.
 
Ndugu msomaji, mimi nimepangiwa wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani. Naomba mwalimu anayependa tubadilishane mimi niende kibaha - Pwani au Dar Esap Salaam ani PM
Asante

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ndugu msomaji, mimi nimepangiwa wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani. Naomba mwalimu anayependa tubadilishane mimi niende kibaha - Pwani au Dar Esap Salaam ani PM
Asante

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Morogoro Municipal Je?
 
Tanga korogwe jee,kuna ndugu yangu anatafuta mtu
 
Ni mwalimu Hamisi Yusuph Mgana wa KILINDI-TANGA, nahitaji mwalimu wa Sekondari wa kubadilishana naye;
Niende GEITA na yeye aje KILINDI-TANGA.
Kwa mawasilianozaidi;
0716796908 au 0763563980 au 0784384089.
Tusaidiane juu ya hilo na Mungu Alifanyie wepesi!!!
 
Ni mwalimu Hamisi Yusuph Mgana wa KILINDI-TANGA, nahitaji mwalimu wa Sekondari wa kubadilishana naye;
Niende GEITA na yeye aje KILINDI-TANGA.
Kwa mawasilianozaidi;
0716796908 au 0763563980 au 0784384089.
Tusaidiane juu ya hilo na Mungu Alifanyie wepesi!!!
 
mimi ni mwalimu katika shule ya sekondari iliyopo mahenge mkoani morogoro, wilaya ya ulanga/mahenge. napenda kubadilishana na mwalimu yeyote kutoka mkoa wa dar-es-salaam ili tubadilishane naye kituo cha cha kazi, niko tayari kuja kufundisha wilaya yoyote hapa dsm nitafute hapa 0759-401230.
 
Jamani mi mwenyewe ni mwalimu sekondari huku kigoma manispaa natafuta mtu wa kubadirishana naye wa mikoa kama dodoma,iringa ,mbeya,morogoro na pwani,kwa yoyote aliyetayari tuwasiliane kwa namba 0768860808
 
Back
Top Bottom