WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mi nipo Bukombe, Shinyanga kwa yeyote anayetaka kuhamia huku aliye Songea tuwasiliane 0763053058.
 
Mm niko Tanga jiji anayetaka kuhamia kutoka Morogoro mjini tuwasiliane 0787767654 na 0659146615
 
mbona mmeanza kuweka matangazo yenu jamani,mjibuni mwenzenu,amechoka kukaa Namasakata-tdr,si munaiona 4n no.yake?Airtel,Hamia Tunduru,hamia Airtel.
 
Nipo mpwapwa nahtaji kwenda kilimanjaro wilaya yeyote kutoa Same Na Mwanga alyoko tyari anitafute hapa 0765164434.
 
Mimi mwalimu wa sekondari niko wilayani tunduru- ruvuma natafuta mwalimu wa sekondari wa kubalishana nae kituo cha kazi. awe anatoka mbinga, songea, njombe morogoro au mbeya. kwa mawasiliano zaidi tumia 0682136570.

jamaa yangu utakesha,nani aje kwa wandengeleko sijui wamatengo,wandendeule wasipenda kusoma hao,kaka utakesha,mimi mwenyewe nipo shinyanga nataka kuja angalau njobe lakini du
 
Mbogolo acha kutusi makabila ya wenzio uliza mhazn mkuu wa jesh tz ni nan kama co mmatengo, chezea wamatengo ww!!!Kaka mi nakushaur uache kazi tu!!
 
me nataka kuhama dar make tumboni nina gesi nisije nikawekezwa naenda villa
 
Mimi nipo Wilaya ya Mbozi, nataka kuhamia Mbeya Jiji ama Mbeya vijijini yeyote mwenye kuhitaji kuhamia Wilaya ya Mbozi please tuwasiliane. Tumia 0783796279, usibipu tafadhari, sms au piga.
 
Wakuu mi nipo mwandiga kigoma kwa wakina Zitto, nataka nihamie mpwapwa kwa juma Nkamia, ni mwalimu wa msingi no# yangu ni 0756231589,
 
Mie nipo Ulanga/Mahenge- Morogoro nataka kuhamia Tandahimba-Mtwara..................Shule ya msingi.
 
Mimi nipo Bukombe shinyanga nataka kwenda Moro au Kibaha Namba 0789488843/0767088843/0712888843
 
Back
Top Bottom