linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,724
- 4,381
Kuna wahandisi ombaomba tu mtaaniUtajiri ni namna unavyoamua kutumia pesa. Wapo walimu matajiri sana wana hadi kampuni zao zao kwa hiyo kila kundi lazima kuna rank hata uliko wewe siyo wote mna hela.
Hata wakulima, maaskari, wanasheria hawapo sawa.
Ameshawakimbia huyoNimeona niungane nao tu kwa kweli. [emoji2] Ule uzi wako wa kutamani kuwa mwanamke, umenitoa kabisa kwenye ule umoja wetu. Maana nimegundua muda si mrefu utatukimbia wanaume wenzako.
Halafu mimi siku zote huwa nawatia moyo watumishi wote wa umma wa ngazi za chini, kujiongeza. Yaani wasiishi kwa kutegemea mshahara pekee. Hivyo hata kwenye kundi la walimu nako kuna tofauti kubwa kati ya wale wenye miradi yao binafsi, na wale wanao tegemea mshahara kwa 100%.
Dar mkuu. Mlete.unafundishia mkoa upi nimlete mwanangu?
Una niita mimi "nalo"? Mimi?Achana nalo
ok niko masaki wewe wapi?Dar mkuu. Mlete.
Ya kula milo mitatu, kajumba chenye madirisha sita ya aluminium na ka-Allex?Halafu mkuu wewe hao walimu unaosema wana shida ni wa wapi?
Mbona mimi na wenzangu ninaowajua tuna maisha fresh kabisa? Tuna maisha yanayoridhisha kabisa.
chakwanzaNipo masaki pia. Mtoto wako yupo kidato cha ngapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukweli usemwe.. Mpwayungu ANATOA DAWA tatizo dawa chungu.. Wagonjwa hawataki kumeza[emoji1787][emoji1787]
Sasa hapo cha kuonea huruma ni kipi?Ila tuwaonee huruma walimu...wamekuja ofisin wakataman bidhaa...mmoja akatoa kishikwambi..kikubwa hicho ili apige picha...eti mwanga wa taa zangu zikazingua kishkwambi kikashindwa piga picha nzur..mwenzie akamjibu thaman ya kishikwamb milion tatu na kimeshindwq kupiga picha...nikabak nawatazama...nan alio wadanganya kishkwamb mil 3? Nikaishia kucheka kimoyo moyo
Unahangaika na mtu asiye na rinda achana naye bwana mnampa milageUsituchoshe maana sisi tunaishi Kwa uzalendo Kwa kufuata ideology ya mwalimu Nyerere. Kama Kuna mwalimu kaja kutafuta utajiri kupitia kwenye uwalimu basi nashauri aondoke hayupo sehemu sahihi
Mbona unatunanga sana kwani vipi weweeee hebu tuache haloooo. Walimu wote tupo pamoja na serikali maana bila mama Samia mimi watoto wangu hawawezi kula kwasababu yeye ndio ananipa mshahara. Huwezi mpangia boss wako kiasi gani cha pesa akulipe
Kwa mwalimu ambae anaona anaonewa aondoke sisi hatuna shida na utajiri. Kama unaona laki tano ndogo jaribu kumpa ambae hana kazi kama ataona ndogo