Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Nimeona niungane nao tu kwa kweli. [emoji2] Ule uzi wako wa kutamani kuwa mwanamke, umenitoa kabisa kwenye ule umoja wetu. Maana nimegundua muda si mrefu utatukimbia wanaume wenzako.

Halafu mimi siku zote huwa nawatia moyo watumishi wote wa umma wa ngazi za chini, kujiongeza. Yaani wasiishi kwa kutegemea mshahara pekee. Hivyo hata kwenye kundi la walimu nako kuna tofauti kubwa kati ya wale wenye miradi yao binafsi, na wale wanao tegemea mshahara kwa 100%.
Ameshawakimbia huyo
 
Ila tuwaonee huruma walimu...wamekuja ofisin wakataman bidhaa...mmoja akatoa kishikwambi..kikubwa hicho ili apige picha...eti mwanga wa taa zangu zikazingua kishkwambi kikashindwa piga picha nzur..mwenzie akamjibu thaman ya kishikwamb milion tatu na kimeshindwq kupiga picha...nikabak nawatazama...nan alio wadanganya kishkwamb mil 3? Nikaishia kucheka kimoyo moyo
 
Bora walim hata wakiwa na maisha magum ftesh wanaishi vile mungu anataka kuliko ww unaepigwa pumbu mpk imefikia hatua unataman kupigwa pumbu kuwa mwanaume umeshindwa unaona wanawake wanafaidi ss si bora walimu hawajafikia hatua ya kutaka kuwa mwanamke ili apate huduma kirahis baada ya kupigwa pumbu
 
Ila tuwaonee huruma walimu...wamekuja ofisin wakataman bidhaa...mmoja akatoa kishikwambi..kikubwa hicho ili apige picha...eti mwanga wa taa zangu zikazingua kishkwambi kikashindwa piga picha nzur..mwenzie akamjibu thaman ya kishikwamb milion tatu na kimeshindwq kupiga picha...nikabak nawatazama...nan alio wadanganya kishkwamb mil 3? Nikaishia kucheka kimoyo moyo
Sasa hapo cha kuonea huruma ni kipi?
 
Usituchoshe maana sisi tunaishi Kwa uzalendo Kwa kufuata ideology ya mwalimu Nyerere. Kama Kuna mwalimu kaja kutafuta utajiri kupitia kwenye uwalimu basi nashauri aondoke hayupo sehemu sahihi

Mbona unatunanga sana kwani vipi weweeee hebu tuache haloooo. Walimu wote tupo pamoja na serikali maana bila mama Samia mimi watoto wangu hawawezi kula kwasababu yeye ndio ananipa mshahara. Huwezi mpangia boss wako kiasi gani cha pesa akulipe

Kwa mwalimu ambae anaona anaonewa aondoke sisi hatuna shida na utajiri. Kama unaona laki tano ndogo jaribu kumpa ambae hana kazi kama ataona ndogo
Unahangaika na mtu asiye na rinda achana naye bwana mnampa milage
 
I swear to God nitampa heshima za kutosha muokota makopo kwenye dampo, muuza maji kwenye foleni za magari ila sio walimu. Nitawachukia maisha yangu yote kwasababu ya akili zao zilivyo chini ya uwezo. wanaamrishwa tu, wanafedheheshwa, wanaburutwa, wanapigwa viboko na Wakuu wa Wilaya, wanachangishwa mpaka Mbio za Mwenge nayanatoa.

Walimu jitambueni, haiwezekani mkawa mnachangishwa Mbio za Mwenge huku serikali inatoa mabilioni kusaidia watu wa Uturuki na Malawi. Hivi akili zenu zipoje jamani, kwani mlipandikiziwa nini?

Sitaki kabisa mazoea na nyinyi, na kuanzia sasa naingia kwenye jukwaa la education kuna uzi wa walimu kubadilishana id's zote za kule nablock kwenye ukrasa wangu, nablock walimu wote kila mtandao mpaka Whatsapp, yaani applications zote nawablock hawa watu. Ni waoga mpaka napata mashaka na elimu yao.
 
Back
Top Bottom