Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Nyie walimu ndio mna tabia ya kuandaa mekingi skimu kwaajili ya kusahihisha makosa ya wanafunzi...
Sahihisha mwenyewe ndio profeshno yako.
Aahahaa,
Kama huwezi basi futa hiyo kauli Yako hapo juu

"don't self project your fantasies on other people bro"
 
Sasa sahihisha hiyo sentensi,twende neno Kwa neno:

"don't self project your fantasies on other people bro"

Naomba ufanye kazi ya kusahihisha hapo
Bro ndonini, mbona hilo neno halipo kwenye lugha ya Elizabeth. Halafu unapoweka dots mwisho wa sentensi sijui ni uandishi gani huo wa ajabu kiasi hiko
 
Bro ndonini, mbona hilo neno halipo kwenye lugha ya Elizabeth. Halafu unapoweka dots mwisho wa sentensi sijui ni uandishi gani huo wa ajabu kiasi hiko
bro=brother
Hiyo ni unofficial name calling

Ni sawa na kusema kid ukimanisha child

Na wewe kiingereza hujui
 
Walimu ni watu muhimu mno ila walimu wa sasa mmetengenezwa kwa misingi ya hofu na kutokujiamin , kuna karia haina pesa kama ya mwalimu ila tu kujiamni tu kunawafanya wasionekane mbayuwayu , unaweza ukafika shuleni tu upo smart na kausafiri kako walimu wakatimua mbiyo kama wanafunzi wakahisi ni mkaguzi , hii karia ni muhimu mno inahitajika wazazi na serikali tuwatie moyo na sio kuwavunja ,hawa ni walezi wa taifa la kesho .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
 
Aahahaa,
Kama huwezi basi futa hiyo kauli Yako hapo juu

"don't self project your fantasies on other people bro"
"Futa kauli yako hapo juu"
Tafadhali sana,hii kauli imekaa kibabe/kimamlaka sana...

mimi sio mwanao,mwanafunzi wako na haya ndio madhara ya walimu kwenye maisha ya kawaida..

USINIPANGIE CHA KUANDIKA MKUU.
 
Hujui kiingereza,
 
Ukweli upo,lakin mbona anashindwa ku acknowledge wale waliotusua maisha!!?
Mtu aliyetusua kimaisha hawezi kuendelea kuwa Mwalimu hivi mtu aliyetusua kweli kimaisha anaweza kukubali vipi kuendelea kuwa utumwani kwa mshahara wa chini ya dola 300 (mia tatu) kwa mwezi na kusubiria pensheni isiyozidi mil 100 za kitanzania baada ya kufikisha miaka 60
 
Utumwa,hiyo inabaki ni fikra zako
Sumu kwako chakula Kwa wengine
 
Dah [emoji22]yani moja ya watu niliokuwa nawaona wapo active ni Tate Mkuu ila nashangaa naww umeungana na wajinga

Tate siwewe pia unasemaga walimu wana maisha magumu
Maisha magumu ni akili ya mtu
Kuna wakulima,wafanyabiashara
,Ma daktari NK wenye maisha magumu
Usi generalize kwahyo waalimu wote Wana maisha magumu? Acha uzwazwa
 
Unaogopa nini kusema we ni mwalimu?kwani utakufa jamani,ungekuwa na maisha kama unavyojinasibu usingeleta uzi wa kutamani kuwa mwanamke
Ebu achana nao sekta nyingi za serikali ziko hivo ila kwa kuwa sekta yako unaijua vyema ko unahisi nyie ndo mnafanyiwa hivo pekeenu
 
Anajicontradict yeye mwenyewe
 
Back
Top Bottom