Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Watu watamtukana Mwayungu lakini ana point asikilizwe, Endeleeni kutunisha msuli mbele ha keyboard ya simu ila ukweli Walimu wana mazingira Magumu sana ya kazi na kipato duni..

Kama kweli mngekuwa na Mshahara mzuri msingetolea macho mambo ya sensa za 30k kwa siku.

Tumesikia kuna vijana wameuana huko Geita, kisa sjui cheo gani labda kuwa second master....

Nje ya mshahara hakuna allowance yoyote, unaishi Dodoma, mara unapangiwa ileje vijijini kufika shuleni unavuka mto na mtumbwi, Nanasi utakula siku mshahara ukitoka mjini..

Yaani ishafikia hatua mwalimu anaonekana tu kwa macho hata kabla hujamuuliza.

Headmaster ni Mungu mtu akiongea wengine wanatetemeka..

Mnakosa exposure kiasi kwamba gari ikiingia eneo la shule watu wanaanza kutetemeka....wanawaogopa watu wa halmashauri kama Miungu yao.

CWT inawanyonya kama kupe na wapo tu.
Mwalimu ukimwambia Nje ya ualimu anaweza akafanya kazi nyingine anakwambia "Inawezekanaje"? Yeye aanachojua ni kufundisha tu..

Kuna mahali mpywayungu anawagusa na mnaujua ukweli
Mkuu naishiwa hata ya kuongea, anyway Mungu akubariki [emoji848]
 
Kama walimu hawana shida, kukosa kujiamini, Njaa, uoga n.k tangaza kazi ya shilingj elf 20 kwa siku kama wote hawataacha kazi ya kufundisha waje kuomba kazi..

Nimewah kusikitika sana, kuna kipindi fulani Mwalimu mmoja (nikiwa taasisi fulani ya kifedha) alikuja kukopa laki 7 ili aende Kuzika kwao....yaani Mzee anakopa laki 7 akatwe mshahara miaka miwili ili akazike ndugu yake, niliumia sana. Kuangalia slip yake ana madeni karibu bank 3 na mshahara umebaki 39% tu nikamwambia atafte hyo pesa kwa mtu na sio Bank.

Inaingiaje akilini Mtu huyu hata Nauli ya kwenda kwao hana?
 
Ni sawa kuwadharau kuwaita wajinga mambumbumbu sijui hawana akili ndio itabadili maishayao??
Samahani sana,naomba unisamehe kama nimekukwaza,sikudhamiria kukudhi...
Hakuna pahala nimewaita wajinga,sijui mambumbumbu siwezi kufanya hiyo dharau...

Lengo la hizi nyuzi nikuwastimuleti walimu watambue haki zao..ndio maana huwa namwambia mpwayungu village abadirishe namna ya kufikisha ujumbe.
 
Walimu wanahonga ili wapate kazi ya siku 20 ya Kutenga maeneo ya makazi kweli?

Mimi sisemi Mpwayungu anatumia Lugha nzuri lakini nasikitika napoona walimu wanajitutumua ilhali wanajua kabisa mishahara yao huwa haitoboi siku 10 baada ya kupokea.

Wapo waliosoma ovyo ovyo masters kwa mkumbo na wamerudi mashuleni wakaomba recategorization wakanyimwa...wapo wanapokea hzo laki 6 na masters zao...nna cases nyingi za walimu ila wanapaswa wajitambue
 
Hahaha , nafikiri kwamba mkuu mpwayungu kataman tu vipaumbele anavyopata mwanamke iwe ni kwenye ajira , kazi na hata foundation mbalimbali , sifikiri kama ni maswala ya kupelekewa moto mkuu , sema tu akili zetu watz zinakimbiliaga chini ya kitovu mapema mkuu[emoji1787]
Mkuu kunywa Pepsi [emoji23], shida ipo hapo wabongo wengi akili Zipo chini. Hata wabunge Viti maalum ni kwaajili ya wanawake tu ila mwanaume hutakiwi. Mimi nililenga faida na fursa za wanawake kiuchumi wao wanawaza mkuyenge tu.
 
Samahani sana,naomba unisamehe kama nimekukwaza,sikudhamiria kukudhi...
Hakuna pahala nimewaita wajinga,sijui mambumbumbu siwezi kufanya hiyo dharau...

Lengo la hizi nyuzi nikuwastimuleti walimu watambue haki zao..ndio maana huwa namwambia mpwayungu village abadirishe namna ya kufikisha ujumbe.
Alafu mnashau tunatofautiana fikra walimu wanafanya kazi mazingira magumu lakin haimaanishi uishi maisha magumu inabid upambane ujenge maisha yako Kwa level unayotaka hapo ndo tunajisahau sana mtuseme sana lkn tumieni lugha nzuri pia mtushauri namna ya kujikwamua tuishi maisha ya maana sio matusi matusi yasiyo na faida kulinganisha na kada zingine Haina maana na Hailet mabadiliko
 
Huku unaweza kukuta mtu anajifnya ni shoga la kiume kumbe ni mdada tena mrembo na mwingne akajifanya msagaji kumbe mwanaume , nahisi ni swala la attention tu.
Mbali na hilo nilisema hakuna mtanzania wa kutoa million 50 kisa kinyeo, huyo hayupo ingekuwa hivyo mashoga wangekuwa matajiri
 
Alafu mnashau tunatofautiana fikra walimu wanafanya kazi mazingira magumu lakin haimaanishi uishi maisha magumu inabid upambane ujenge maisha yako Kwa level unayotaka hapo ndo tunajisahau sana mtuseme sana lkn tumieni lugha nzuri pia mtushauri namna ya kujikwamua tuishi maisha ya maana sio matusi matusi yasiyo na faida kulinganisha na kada zingine Haina maana na Hailet mabadiliko
Tutajirekebisha nisamehe Aaliyyah
 
Back
Top Bottom