min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mkuu hayo ni wewe wasema[emoji4][emoji4]Hao walimu wabakaji,wavuta bangi na wanaotamani kuwa mashoga ndo hao akina mpwayungu village
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hayo ni wewe wasema[emoji4][emoji4]Hao walimu wabakaji,wavuta bangi na wanaotamani kuwa mashoga ndo hao akina mpwayungu village
CCM haitotoka madarasani hata kama wangesimamaia akina Glenn millioni TanoMuache kuiba kura kwa malipo kiduchu.
Waalimu wa nchi hii ni wasaliti sana kwa kura zetu
Nimeona niungane nao tu kwa kweli. 😃 Ule uzi wako wa kutamani kuwa mwanamke, umenitoa kabisa kwenye ule umoja wetu. Maana nimegundua muda si mrefu utatukimbia wanaume wenzako.Dah [emoji22]yani moja ya watu niliokuwa nawaona wapo active ni Tate Mkuu ila nashangaa naww umeungana na wajinga
Tate siwewe pia unasemaga walimu wana maisha magumu
mpwayungu village ni mwalimu ambaye amekosa alichokalikishwa kipo ndani ya ualimu ndiyo maana sasa anatamani kuwa mwanamkeMkuu hayo ni wewe wasema[emoji4][emoji4]
Mimi nipo na nyinyi [emoji120]Unatusaidia sana
Huyu ni hasara Kwa Taifa na Jamii ya wanaumeNimeona niungane nao tu kwa kweli. Ule uzi wako wa kutamani kuwa mwanamke, umenitoa kabisa kwenye ule umoja wetu. 😃
Halafu mimi siku zote huwa nawatia moyo watumishi wote wa umma wa ngazi za chini, kujiongeza. Yaani wasiishi kwa kutegemea mshahara pekee. Hivyo hata kwenye kundi la walimu na ko kuna tofauti kubwa kati ya wale wenye miradi yao binafsi, na wale wanao tegemea mshahara kwa 100%.
Nimefungwa gerezani miaka 2(nayajua maisha ya askar magereza mwanzo mwisho)..Za ovyo kivipi mkuu?
Maneno yako yanaumiza lakini Yana ukomboz ndani yakeMimi nipo na nyinyi [emoji120]
Ujiunge nao sasa na kwenye kuvaa pediMimi nipo na nyinyi [emoji120]
Huyu ni mwalimu, na inawezekana babake pia mwalimu na mke wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kifupi hueleweki suala la madai na uhamisho kila kada wanadai ila umekomaa na walimu tu
Kombolewa na wengine npsionna huyu failed teacher who goes by the name of mpwayungu villageManeno yako yanaumiza lakini Yana ukomboz ndani yake
Ni sawa kuwadharau kuwaita wajinga mambumbumbu sijui hawana akili ndio itabadili maishayao??Nimefungwa gerezani miaka 2(nayajua maisha ya askar magereza)..
Kaka yangu ni mwalimu songea sec(huyu ndo usiseme kwakua ni familia acha nikae kimya)
Polisi naishi nao mtaani kila siku mpaka wamekua washkaji zangu,wanapigikaga mpaka wanakosa hela ya bange.
Point wamtukane jamaa ila ukweli kashausema.Watu watamtukana Mwayungu lakini ana point asikilizwe, Endeleeni kutunisha msuli mbele ha keyboard ya simu ila ukweli Walimu wana mazingira Magumu sana ya kazi na kipato duni..
Kama kweli mngekuwa na Mshahara mzuri msingetolea macho mambo ya sensa za 30k kwa siku.
Tumesikia kuna vijana wameuana huko Geita, kisa sjui cheo gani labda kuwa second master....
Nje ya mshahara hakuna allowance yoyote, unaishi Dodoma, mara unapangiwa ileje vijijini kufika shuleni unavuka mto na mtumbwi, Nanasi utakula siku mshahara ukitoka mjini..
Yaani ishafikia hatua mwalimu anaonekana tu kwa macho hata kabla hujamuuliza.
Headmaster ni Mungu mtu akiongea wengine wanatetemeka..
Mnakosa exposure kiasi kwamba gari ikiingia eneo la shule watu wanaanza kutetemeka....wanawaogopa watu wa halmashauri kama Miungu yao.
CWT inawanyonya kama kupe na wapo tu.
Mwalimu ukimwambia Nje ya ualimu anaweza akafanya kazi nyingine anakwambia "Inawezekanaje"? Yeye aanachojua ni kufundisha tu..
Kuna mahali mpywayungu anawagusa na mnaujua ukweli
Kila kada ya utumishi Ina watumishi walio mambo safi na wale waliokaa ringiNi sawa kuwadharau kuwaita wajinga mambumbumbu sijui hawana akili ndio itabadili maishayao??
Jamaa yupo kwenye denial state, kutamani kuwa mwanamke siyo jambo la kawaida, anahitaji ushauri wa kisaikolojia.Tukana uone tena wewe ngoja nakujua Leo nakuja hapo nikupe dawa yako
Anzeni kumpa mpwayungu village abc za uanamke Ili siku akishafanyiwa plastic surgery ya kuwa jike shupa asitie aibu akitaka kupaka make up aua kuvaa pediduh aiseee
Hahaha , nafikiri kwamba mkuu mpwayungu kataman tu vipaumbele anavyopata mwanamke iwe ni kwenye ajira , kazi na hata foundation mbalimbali , sifikiri kama ni maswala ya kupelekewa moto mkuu , sema tu akili zetu watz zinakimbiliaga chini ya kitovu mapema mkuu[emoji1787]mpwayungu village ni mwalimu ambaye amekosa alichokalikishwa kipo ndani ya ualimu ndiyo maana sasa anatamani kuwa mwanamke
Labda una approach nzuri tofauti na yeye kama yupo juu ya stul ndefu sasa kaona inafeli kulipia wakati kachukua jana tu. Na ukute kangombana na kaunta!!Watu watamtukana Mwayungu lakini ana point asikilizwe, Endeleeni kutunisha msuli mbele ha keyboard ya simu ila ukweli Walimu wana mazingira Magumu sana ya kazi na kipato duni..
Kama kweli mngekuwa na Mshahara mzuri msingetolea macho mambo ya sensa za 30k kwa siku.
Tumesikia kuna vijana wameuana huko Geita, kisa sjui cheo gani labda kuwa second master....
Nje ya mshahara hakuna allowance yoyote, unaishi Dodoma, mara unapangiwa ileje vijijini kufika shuleni unavuka mto na mtumbwi, Nanasi utakula siku mshahara ukitoka mjini..
Yaani ishafikia hatua mwalimu anaonekana tu kwa macho hata kabla hujamuuliza.
Headmaster ni Mungu mtu akiongea wengine wanatetemeka..
Mnakosa exposure kiasi kwamba gari ikiingia eneo la shule watu wanaanza kutetemeka....wanawaogopa watu wa halmashauri kama Miungu yao.
CWT inawanyonya kama kupe na wapo tu.
Mwalimu ukimwambia Nje ya ualimu anaweza akafanya kazi nyingine anakwambia "Inawezekanaje"? Yeye aanachojua ni kufundisha tu..
Kuna mahali mpywayungu anawagusa na mnaujua ukweli
Alishasema akipatikana mjuba wa kumpa 50m anatoa jichoHahaha , nafikiri kwamba mkuu mpwayungu kataman tu vipaumbele anavyopata mwanamke iwe ni kwenye ajira , kazi na hata foundation mbalimbali , sifikiri kama ni maswala ya kupelekewa moto mkuu , sema tu akili zetu watz zinakimbiliaga chini ya kitovu mapema mkuu[emoji1787]