Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Walimu kama hoja za Mpwayungu ni za kweli na nyie endeleeni kutoa malalamiko kwa mamlaka husika na sio kupingana na Mpwayungu. Kiukweli mnastahili heshima kubwa kuliko mliyonayo.

Famchezo nini [emoji41]
Kufundisha SI jambo dogo,
Respect kwa walimu wote,
Standing Allowance for the teachers [emoji123]
Teaching education in Tanzania is embarrassing Kwa sababu serikali haiwapi haki zao
 
Kwa hiyo 1.6m umeiona nying Sana? Huo ni mshahara wa dereva Pale ewura
Kwanza asikutishe hakuna mwalimu huyo hiyo level hufik ushastafu. Halafu kwann nichukue mda mrefu wa zaidi ya miaka 30 kazini kufikia mshahara ambao ni pesa ndogo hata posho Kwa TPDC ni kubwa
 
Back
Top Bottom