Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Mimi mpwayungu namjua tulikua nae kwenye group la ajira Za ualimu zilizotangazwa mwaka Jana, alikua anakesha mpaka saa 8 usiku.
 
Waalimu wamekataa ushoga ndo maana wanakula vya halali hata kama ni dagaa. Wewe uliyeamua kujitangaza shoga endelea kula vinono.
 
Hivi muda wa kufuatilia jirani kala nini mnautoa wapi huna mambo ya kufanya kama ni huo mkopo ulokopesha kwan wao ni wa kwanza kudaiwa mbona hata nchi inadaiwa ,hao ulowakopesha ndo wamekufanya uwachafue walimu wote ?mxxxxx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…