Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani


Waache 🤣🤣
 
Mpwayungu kwenye mambo ya Walimu yupo sahihi nadhani uwasilishaji wake ndio tatizo wale wahuni wa chama cha Walimu wanaojifanya viongozi ndio wananufaika na sio Walimu ni kweli Walimu wana changamoto ambazo Serikali inatakiwa izifanyie kazi ili nao waishi maisha bora na kutoa wanafunzi wengi wenye ubora...
 
Siku zote vijana wenye ugumu wa maisha lazima wajitahidi kujifariji kama huyu pimbi
 
Take home kima cha chini ya Mwalimu ni shilling ngapi kwa mwezi?
 
Siku zote vijana wenye ugumu wa maisha lazima wajitahidi kujifariji kama huyu pimbi
 
Nani anakera kati ya mwalimu na Shoga?
 
Mbona walimu wa huku kwetu wapo vizuri sana kiuchumi,hawategemei ualimu tu.

Hila nawe ache chuki zako,bila mwalimu ungekuwa unaomba wadau wakusomee sms.
 
Inaelekea mpwayungu hukuwa unafanya vizuri shuleni kuanzia huko shule ya msingi na katika harakati za waalimu kukusaidia walikuadhibu mara kwa mara, na kwa sababu hiyo ukajenga chuki juu yao hadi leo! Kuwachukia waalimu hakutaondoa matatizo yako ambayo unajua ni mengi sana!

Lakini pia siyo kweli kuwa waalimu ndio wenye maisha magumu au wenye kipato kidogo kuliko watumishi wengine. Kwa ujumla watumishi wote wa serikali ngazi ya kati wakiwemo waalimu kipato chao ni kidogo. Lakini ukilinganisha mishahara yao, waalimu ndiyo wenye mshahara mkubwa kuliko wengine. Kwa mfano mwalimu mwenye shahada ana mshahara mkubwa zaidi ya afisa utumishi mwenye shahada kwa maana ya kianzia mshahara. Lakini watu wamekariri kwa makosa kuwa mshahara wa mwalimu ni mdogo!

Huyo mwalimu uliyemtolea mfano hawezi kuwa kielelezo cha waalimu wote!! Kila kazi kuna waajiriwa walioshindwa maisha na wanaishi maisha magumu kutegemea na mtu anavyoyaendesha maisha yake. Nenda shule yoyote ya msingi au sekondari ukaone magari ya kutembelea ya walimu yakiwa yamepaki!! Waalimu wamejenga majumba ya kuishi, wanamiliki biashara na mashamba na wana maisha mazuri kuliko unayotaka kutuambia. Mtu yeyote mwenye kazi yoyote anaweza kupigika na maisha kama asipokuwa makini. Kuna madaktari nawafahamu ni choka mbaya japo wana mishahara mizuri kidogo. Ni namna tu mtu anavyopangilia maisha yake. Mtumishi yeyote mshahara haumtoshi lazima awe na namna ningine HALALI ya kuendesha maisha!!

Sema usemavyo lakini walimu ni watu wanaostahili sana kuheshimiwa sana katika jamii, na watu wanaojitambua wanawaheshimu sana waalimu. Ni baadhi tu ya wachache ukiwamo wewe ndio hamna adabu kwa waalimu wenu na ni matatizo yenu wenyewe!
 
Mbona walimu wa huku kwetu wapo vizuri sana kiuchumi,hawategemei ualimu tu.

Hila nawe ache chuki zako,bila mwalimu ungekuwa unaomba wadau wakusomee sms.
Nimemwambia atembelee shule yoyote ya msingi au sekondari ajionee magari waliyopaki waalimu ambayo yeye hana ndoto hata za kuyamiliki!!

Kuna mwalimu alianzisha ujenzi wa bonge la jumba la kuishi. Majirani zake wakawa wanasema yawezekana anasimamia nyumba ya mtu mwingine, lakini alipoimaliza na kuhamia wote wakanywea!! Hakuishia hapo, alipomaliza nyumba akanunua gari zuri la kutebelea ikabidi wafunge midomo!
 
Dagaa wana protein nyingi sana, kwahiyo walimu wengi miili yao itakuwa rich in protein.. watalaam watatuambia faida ya protein japo ina msaada kwenye kujigijigi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…