Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #521
Kila siku?Mpwa umezidi acha dharau dagaa nikitoweo kizuri tu kuliko hizo nyama nyekundu na mabroila unayokula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila siku?Mpwa umezidi acha dharau dagaa nikitoweo kizuri tu kuliko hizo nyama nyekundu na mabroila unayokula
Alimradi maisha yanaenda matumbo yao hayatoboki kwa hizo dagaa shida ipo wap ni maisha yaoKila siku?
Wanapata apendeksi michanga inalundikana kwenye utumboAlimradi maisha yanaenda matumbo yao hayatoboki kwa hizo dagaa shida ipo wap ni maisha yao
Kuna nyumba ya jirani yetu ni mwalimu kila siku wanakula ugali wa muhogo na dagaa wa bukoba, hawa watu Dunia imewatenga hata mimi nimewapiga marufuku Kuja nyumbani kwangu pamoja na watoto wao wasije kuniambukiza pepo la uoga na ufukara
Walimu mnakera ifike hatua mjipende huwa hamuogi nguo zenu ni hizo hizo
Kwani wanalipa kiasi ganiMkuu hiyo laki saba mwalimu yupi? Labda walimu wa London au Berlin
Take home kima cha chini ya Mwalimu ni shilling ngapi kwa mwezi?Mpwayungu kwenye mambo ya Walimu yupo sahihi nadhani uwasilishaji wake ndio tatizo wale wahuni wa chama cha Walimu wanaojifanya viongozi ndio wananufaika na sio Walimu ni kweli Walimu wana changamoto ambazo Serikali inatakiwa izifanyie kazi ili nao waishi maisha bora na kutoa wanafunzi wengi wenye ubora...
Pamoja na ugumu wao ila hawajafikia kutamani kuwa jinsia fulani.
Siku zote vijana wenye ugumu wa maisha lazima wajitahidi kujifariji kama huyu pimbi
Nani anakera kati ya mwalimu na Shoga?Kuna nyumba ya jirani yetu ni mwalimu kila siku wanakula ugali wa muhogo na dagaa wa bukoba, hawa watu Dunia imewatenga hata mimi nimewapiga marufuku Kuja nyumbani kwangu pamoja na watoto wao wasije kuniambukiza pepo la uoga na ufukara
Walimu mnakera ifike hatua mjipende huwa hamuogi nguo zenu ni hizo hizo
... ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndo umenichelewesha
Inaelekea mpwayungu hukuwa unafanya vizuri shuleni kuanzia huko shule ya msingi na katika harakati za waalimu kukusaidia walikuadhibu mara kwa mara, na kwa sababu hiyo ukajenga chuki juu yao hadi leo! Kuwachukia waalimu hakutaondoa matatizo yako ambayo unajua ni mengi sana!Kuna nyumba ya jirani yetu ni mwalimu kila siku wanakula ugali wa muhogo na dagaa wa bukoba, hawa watu Dunia imewatenga hata mimi nimewapiga marufuku Kuja nyumbani kwangu pamoja na watoto wao wasije kuniambukiza pepo la uoga na ufukara
Walimu mnakera ifike hatua mjipende huwa hamuogi nguo zenu ni hizo hizo
Nimemwambia atembelee shule yoyote ya msingi au sekondari ajionee magari waliyopaki waalimu ambayo yeye hana ndoto hata za kuyamiliki!!Mbona walimu wa huku kwetu wapo vizuri sana kiuchumi,hawategemei ualimu tu.
Hila nawe ache chuki zako,bila mwalimu ungekuwa unaomba wadau wakusomee sms.
Ni kweli waalimu wote wa shule za sekondari na msingi wamepewa TABLETS za samsung!Si nasikiaga eti walipewa vishkwambi na sirikali ya ccm?
Naomba tuonane live MpwayunguNje ya mada your post does not relate the topic at hand