Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Jambo afande
 
Jambo afande
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nashangaa Mpwayungu kuwasimanga walimu, Mimi hiyo ni Moja ya kazi nilipenda sana kufanya (may be Kwa baby nilikuwa nafundisha wakubwa, form five na six) lakini sikuwahi kujutia kufundisha hata kidogo nikilinganisha na kulinda wafungwa...

Jamani kazi ya kulinda wafungwa ni jehanamu kabisaaa, tena isikieni tu...
 
Ila mkuu askari magereza wengi wao wanapokuwa lindo hata ugali si mnakula wa wafungwa
 
Hao wanaosema wapo Madaktari na Wahandisi wapo shule za Private ni waongo na wanafiki wakubwa watupe mfano wa hiyo Shule.. Labda anaongelea walimu wa vyuo vikuu ambao nao ukifika msimu wa uchaguzi wote wanachukua fomu za ccm kugombea ubunge
Wako mkuu jamaa anasema ukweli

Kuna mmoja Yuko shule Fulani maarufu tu yeye ni telecom engineer/computer engineer tena wa udsm.

Hawa mostly no wa watoto wa masikini hawana connection ni vile wako njema kichwani wanawakatia mapindi ya physics na maths madogo.
 
ninayo mifano hallisi miwili kwenye halmashauri yangu
1. alikuwa afisa utumishi ( ofisi ya utumishi ) na alikuwa anatupangia majukumu kaenda kusoma sasa ni Mwalim mkuu shule ya msingi tena vijiji huko
2. alikuwa Afisa mtendaji lata kwa sasa ni mwalimu wa Taaluma shule ya secondary ya kata
 
KWA hiyo wanasomesha kutokana na kukosa kazi za maana
 
Naisihi serikali iwaanzishie allowance maeneo matatu.

1. Standing au teaching allowance
2. House allowance (nyumba hakuna)
3. Transport allowance(au mafuta)

Mwalimu mpwayungu village kosa lake ni dhihaka anayoitumia lakini hoja wake ina mantiki tu.

Hii allowance ilikuwepo zamani ilitolewa. Upande wa Zanzibar kuna allowance walimu wanapewa.

Ova
 
Tafuta njia mbadala ya kutrend humu njia yako ya kupitia mgongo wa walimu inakinaisha
 
Blai sio bure Kuna ticha alikufumulia marinda mzazi wako !!! Sio bure aisee !! Sasa umejenga chuki na maticha!!! Million hizo sio mchezo hata pale Kijijini kwenu hakuna mwenye nazo
 
Psychologically huyu mtu ana shida sio bure ila kwakuwa hatumjui hatuna Cha kufuatilia ila ana shida kubwa Sana !!
 
Oooh nakumbuka 2017 nikiwa Tabora,, kuna mwalimu mmoja alinishauri nisitegemee chanzo kimoja cha mapato wakati huo tukiwa kwenye ghala lake kahifadhi mpunga gunia 1,700/=. na hapohapo akiwa na ng'ombe takribani ,2,000/=. na akiwa anamiliki nyumba mbili.
So walimu wenye hela hizo wapo labdaa shida na idadi so kusema hawapo sio sahihi hata kidogo.
 
Walimu wenzangu,hili nalo tukalitazame...Mtoa mada nae kwa hakika ni mwalimu japo bado hajapata ajira na anasota kwa wazazi wake...tumvumilie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…