Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Ila nyinyi walimu ni mazoba sana aisee
Kwamba kwa vile nimecomment for walimu basi nami mwalimu. Umesema kada zingine mnajielewa kweli? Wewe kada gani mkuu, manake naona bora hao walimu kuliko kada zenu mnazojisifu.

Kifupi, ungekuwa unajielewa usingefanya generalisation bila facts.
 
Ila kumbuka unaowatukana hapa ndio waliokupa uwezo wa kuandika Mkuu.

Hakuna mtu mwenye maarifa ambaye hajapita mikononi mwa waalimu Tanzania hii.

Inasikitisha sana mwalimu ndie mlezi wa maarifa yet mnamtukana kiasi hichi.

mzee mimi nimejifundisha kwa asilimia 80 na hizo zilizobaki ni wazazi na walimu

Kama ww ulimezeshwa kila kitu na walimu siyo mm
 
Mkuu Mpwayungu umetuamkia tena leo walimu? Ni lini utatupa nafasi tupumue? Hebu tuache kidogo basi. Mbona tuna chama chetu cha CWT kinatusemea?
 
Hebu msikilize mkuu mpwayungu village anapomshauri mwenzake kwenye post hii? Ujinga mtupu:
 
Sasa mkuu mkurugenzi atajuaje kwenye account yako Kuna pesa ya kutosha, watu nyie ni washamba sana ahseee dah 🤣🤣🤣🤣
Hujui kitu, kumbe wewe jinga sana akaunti ya mshahara ni akaunti ya mwajiri sasa iwe na millioni 200 kwa nn asijiridhishe..
Kumbe uko local sana aisee nilijua unavyoponda walimu nikajua uko smart kwenye uelewa...
 
Walimu badala ya kupambania maisha yao wajikwamue kwenye madeni wamekalia kuchapachapa watoto na ubakaji.

Mpfyuuuuuuuuuuuu zao.
 
Mtu anatamani kua mwanamke ili kusolve matatizo yake ya kiuchumi mnahisi anaweza kuwapa solution gani walimu ili wajikwamue kiuchumi?
 
Kwanza kuandika kwenyewe ni shida tupu, pole sana!
 
Dah mkuu machozi yamenilengalenga[emoji22]! Bila shaka upo kwenye idara ya utumishi WA halmashauri tena huenda kitengo cha walimu. Binafsi mm sio mwalimu ila Nina marafiki wengi walimu maana shida zao huwa wananiletea mimi kuhitaji msaada wa kisheria (naijua sheria kiasi tu) na kifedha, kama Nina fedha huwa nawapa Lakin ajabu ni kuwa hawa walimu ni waoga mweee yani unakuta namtembela kwenye Kota zao za utumishi wanazoishi na mkuu wa shule unakuta mkuu anatoka chumbani tena mda wa kazi umeisha anaenda kumwambia mwalimu mwenzake atoe lesson plan akague kumbuka ni nje ya mda yani anadai saa kumi jioni akiona lesson plan mbovu anamwambia akae aandike mda huo huo sio kesho tena

Walimu wanafundisha mpaka jumapili ila wanaambulia matusi na wakuu wao wa kazi wabaya ni hawa wakuu wa shule na AEK hawa watu ni nyoka wenye sumu. Sasa ajabu hawapandi madaraja wakifatilia kupanda kwao Kwa daraja wanaambiwa wasumbufu (kama ulivyosema), kupewa posho ya likizo ni mtiti yani asubiri baada ya miaka miwili ila viongozi wengine siku ya pili tu muamala unasoma

Ukija kwenye ruhusa na kuhama kituo cha kazi hapa staki ata kusema nitatukana Bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…