pri
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 826
- 666
Aiseeeh!huko TEKU vipi?field yako ya ualimu mwaka 2 mmeshatoka ama unaandaa maandalio?Sibora baiskel, wengi wao wanaukanyaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeeh!huko TEKU vipi?field yako ya ualimu mwaka 2 mmeshatoka ama unaandaa maandalio?Sibora baiskel, wengi wao wanaukanyaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo hukuwa na akili darasan ukabondwa sana bakora,saizi una hasira nao sana.poleni nani asiyejua kuwa katika fani zote fani ya ualimu ni fani iliyotawaliwa na wajinga.
Yani miji-alimu ina maisha magumu yatokanayo na udumavu wa akili,fikra mbovu na tabia mbaya (kulawiti watoto wetu)
NAHESHIMU FANI YA UALIMU KWA NCHI ZINGINE SIYO HII.
Mijialimu inaishi maisha magumu bila posho bila bonus wala nyongeza za mara kwa mara za mishahara ila kwenye chaguzi inarubuniwa kwa tisheti na kofia na vilaki laki
BADILIKENI WALIMU WA DANGANYIKA
Kwani walimu wana akili [emoji28][emoji28][emoji28]Tatizo hukuwa na akili darasan ukabondwa sana bakora,saizi una hasira nao sana.pole
Tatizo hukuwa na akili darasan ukabondwa sana bakora,saizi una hasira nao sana.pole
Washamba hawa, wangejua chanzo cha watoto kufeli mashuleni ni kwasababu wanafundishwa na waliofeli, binafsi nilifaulu Kwa juhudi zangu Kuna mda nilikuwa nawapuuza walimu maana waongo waongo sana Afu hayajui kitumzee ni muhaya kwa taarifa yako.
Mzee wangu amestaafu moi( daktari bingwa wa mifupa)
mama yangu alikuwa Geogist alistaafu GST.
kwa kupenda fani ya Mama mpka sasa mimi ni Geologist.
nakupa taarifa tu.
best student na mwenye IQ kubwa kuwahi kutokea hapa Tanzania
Wewe endelea kupuliza moto kwenye kuni huko kijijini.
Huyu jamaa sijui anakutana na walimu gani, Kuna ticha mmoja toka sekondari flani hivi nafikiri miaka 5 ijayo atastafu yeye hajawahi kuchukua mshahara ila huwa anacheki kama umeingia,, siku moja DED akatuma timu yake imvagae maana alikuwa na kiasi kikubwa cha pesa kwenye akaunti, walipofika jamaa akawapeleka kwenye vyanzo vyakeOooh nakumbuka 2017 nikiwa Tabora,, kuna mwalimu mmoja alinishauri nisitegemee chanzo kimoja cha mapato wakati huo tukiwa kwenye ghala lake kahifadhi mpunga gunia 1,700/=. na hapohapo akiwa na ng'ombe takribani ,2,000/=. na akiwa anamiliki nyumba mbili.
So walimu wenye hela hizo wapo labdaa shida na idadi so kusema hawapo sio sahihi hata kidogo.
siku moja DED akatuma timu yake imvagae maana alikuwa na kiasi kikubwa cha pesa kwenye akaunti, walipofika jamaa akawapeleka kwenye vyanzo vyake
Ila nyinyi walimu ni mazoba sana aiseeNaona umeamua kutumia kivuli cha walimu ili upate ku-trend jf. Unajidhalilisha tu kwa maoni yangu.
Wengi tusingekuwa hapa kama sio walimu, hata hivyo mbona kada nyingi tu watu hawana hizo pesa, mbona lawama kwa walimu pekee. Hapo ulipo account yako inasoma shilingi ngapi mkuu?
Walimu ni masikini na siku hizi wengi ni wadajili laini na mabodaboda.Kwa maisha na uchumi wa Tanzania, 200 million tena cash ni hela nyingi sana na wengi hawana, sio walimu, sio engineer, doctor , wahasibu na unao wajua.. wala wana sheria.. na pia ukae ukijua kuna walimu wapo wana cash zaidi ya 400 million na kuna engineer wenye PhD zao hawana hata 5 million cash kwenye account zao..
Tuoneshe yako kwanzaHakuna mwalimu huyu kwa msimamo wangu na nalijua hili kwakua najua huwa wagumu kujiongeza kibiashara.
Ukiona mwalimu ana million mia tu ujue huyo kastaafu juzi na baada ya wiki mbili utakuta kanunua pikipiki na anaanza ujenzi wa nyumba isiyozidi million ishirini.
Jana Kuna mwalimu kalawiti mtoto wa darasa la tatu chooni, yani unafanya mapenzi kwenye vyoo??
Haipo ila ndivyo vitisho makazini kwa walimu.Sheria gani ya Kazi inamtaka mwalimu afundishe Hadi saa 12 jioni? Analipwa overtime?
Tuwachwe walimu tupumuwe. Mei Mosi tunakatwa 30,000 tunashonewa ma polo shirt hafifu, dukani likiwa jipya unapata kwa buku5. Tunaonewa sanaTime is too short, siku si nyingi sikukuu ya wafanyakazi inakuja. Je wewe kama mwalimu umejiandaaje? Umejiiandaa kuwa Chawa wa mama ili umsaidie ushindi 2025 kwenye box la kura au umejipanga kufanya harakati zenye Nia ya kumkomboa mwalimu kutoka kwenye ufukara wa kutia aibu.
Naomba tuende Sawa hapa : haki haiombwi, shairi la mwanalege kutoka Jamaica Peter toshi anasema watu wanataka kwenda mbinguni ila kufa hawataki. Sasa utaendaji mbinguni bila kufa. Ili haki ya mwalimu ipatikane lazima mrisk kazi zenu
Hiyo siku natamani muandamane barabarani mumwambie Samia kupanda madaraja ni kila baada miaka 3, muanze kupewa house allowance maana hamna hata nyumba za walimu, muanze kupewa teaching allowance ili kurahisisha shughuli za ufundishaji kama kudownload material mitandaoni na kununua teaching Aids
Sasa ipo hivi; kwenye haya maandamano wapo walimu watapoteza kazi, wapo watawashwa mbata na maaskari, wapo watakula kisago na wakuu wa shule maana huko mashuleni mkuu wa shule ni inversely proportion na walimu wenzake, mtatukanwa sana na watu wa CCM, cwt, TUCTA, tsc, mwijaku, Steve nyerere wote hao watakuwa upande wa mama maana asili ya wabongo bila kujipendekeza wanaona hawatoboi.
All in all move onnnnn, never quit please that day don't fall me down I beg you 🙏
No police force, no court, no government, no army, no anything will stop the will of the people. When Injustice becomes law resistance becomes duty (Thomas JF)
HaaTuwachwe walimu tupumuwe. Mei Mosi tunakatwa 30,000 tunashonewa ma polo shirt hafifu, dukani likiwa jipya unapata kwa buku5. Tunaonewa sana
Ajira zilivyo ngumu sasa unaotaMkuu walimu kwanza kitakachowasaidia ni wengi, maandamano ni watu hivyo watakapondamana nashauri pia wogome kuingia madarasani kufundisha
Wakuu hebu comment ziwe fupifupiView attachment 2575767