Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
-
- #1,121
Mimi nimejiunga kutokana na nyuzi zake sioni haja ya mpwayungu kusakamwa baya kuliko lote namm naambiwa ni mpwayunguHuyu jamaa ni either ana influence kubwa sana au ana mental case.. kushawishi watu tofauti kuchukia walimu hiko kipaji maalum ila kama ni wewe una ma id tofauti aisee kuna screw iko loose! So either a very brilliant mind or sociopath.
Very thin line. Alaf njoo kivingine tushachoka same ol cheesy shit
Upo sahihi mkuu, walimu maboss zake wanaanzia Kwa mwenyekiti wa kitongoji, anakuja mtendaji wa kijiji anakuja mwenyekiti wa kijiji anakuja diwani.. Mpaka Rais na watu wote wa CCMMpk nakua nili be inspire kua mwalimu kutokana na WALIMU niliona kua nao karibu kimakuzi badaee nililikwepa hili Shimo......
Katika jamii nyingi za ki maskini mpaka muda huu nao andika waalimu wanaishi maisha ya kifalme....
Kuna WALIMU wamesha Toka kimaisha maana wamejiwekeza Kwa kucheza na fursa huko vijijini.....
Mwalimu ndie mtumishi pekee asiye kua na malupulupu....
Mwalimu ndie ana maboss wengi, mratibu,diwani, mkurugenzi, DC, Rc, Mbunge....
Mwalimu ataambiwa achangie Mwenge.....ata pewa maelekezo na atatumika ipasavyo....
Inashangaza sana mtu kuandika Haya maneno...PIGA VITA UALIMU KATAA KUA MWALIMU NI UMASKINI NA UTUMWA...
Ndio,
Kama ni Coward government lazima uingie matatizoni....
Wamekosea sana, mwamba alikuwa ana haki ya kutoa maoni yake piaMpaka sasa sijaona sababu ya kumpiga ban mpwayungu village ,Jf mnayumba sana.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
23,500/- kwani nyie ngapi???Hivi mshahara wa mwalimu Ni sh ngp?
Maana mayowe yamekuwa mengi mno.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Mpwayungu village alikuwa sahh sijui kwann walimpiga ban, anyway tunamuombea ban yake iishe haraka ili tuungane kuwasemea walimuWalimu kazi wanayo Huu mwaka, labda JF ifutwe ila kam itaendelea kuwepo Inabid Mjifunze tu kuvumilia ukweli mchungu wa Bwana Mpwayungu Village. THE RETURN OF MPWAYUNGU VILLAGE
Ndege wafananao huruka pamojamwandiko wa mpwayungu kabisa halafu unajidai mgeni eti
Nilikuwa bado sijafungua accountUandishi wako unaonesha ni mwanajamii humu toka miaka ya 90.hongera kwa kuja kututetea walimu
Kweli wamemkosea sana Jamaa alikuwa anawatetea walimu na sio kuwadharirisha kam wengi wanavyodhani, ila ndhvyo siku zote msema kweli ni adui wa Wajinga. Mimi binafsi Nipo upande wa mpwayungu villageMpwayungu village alikuwa sahh sijui kwann walimpiga ban, anyway tunamuombea ban yake iishe haraka ili tuungane kuwasemea walimu
Mpwayungu is our fighterKweli w
Kweli wamemkosea sana Jamaa alikuwa anawatetea walimu na sio kuwadharirisha kam wengi wanavyodhani, ila ndhvyo siku zote msema kweli ni adui wa Wajinga. Mimi binafsi Nipo upande wa mpwayungu village
Ipo bahi sio mpwapwaHutu ni yule ticha mpwayungu.....Kwann nasema sababu mpwayungu ni kijiji cha dodoma mpwapwa na hi nagulo nimegoogle ni hukohuko
Ushamba wenu ndomana mnadharaulika afu uyo Freed Freed ndokapuku gnFreed Freed mwl . Mpwa amerud tena na I'd ingine
Chukuwa pepsi bariiidi kwa Mangi nakuja kulipa.Kwamba muokota makopo ana uhakika wa bima ya watu 6?
Kwamba ikitokea amekufa ana uhakika wa mafao?
Kwamba muokota makopo ana uhakika wa kazi miaka 20?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Baada ya kuukata ualimu sasa ameamua kukataa na uanaume?Mpwayungu nadhani ni muda sahihi kabisa wa wewe kutafuta mume akuoe. Hamia South Africa ambako kumehalalishwa haya mambo ya kishenz. Kule SA watakutimizia hitaji lako. Wewe una tatizo kubwa sana la kisaikolojia. Adui yako ni wewe mwenyewe sio waalimu. Nakusihi achana na hayo mambo ya kujutia maisha uliyopitia. Sisi wote tushawahi fanya makosa mengi yanayotugharimu ila tunapambana sana kukabiliana nayo. Wewe inaonekana pia kuna makosa uliwahi fanya hadi ukafikia hatua ya kuuchukia uanaume wako. Chagua kukataa fikra mbaya.