Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Mpwayungu Village.
 
Upo sahihi ila najiuliza ni kwa uchumi upo bloangu?
 
Nagulo village najua wewe ni mpawayungu uliyerudi kwa jina jipya. Mwalimu acha kiburi na dharau. Bado hujajifunza tu. Nakuonea huruma. Usije kukipata utafutacho. Kwanini unitukane? Changia kwa busara Kama unataka kudumu humu na hapo ulipo.
@Moderator huyu member amekuwa akitishia members wengine juu ya misimamo yao,kwanini msimpige ban!? Yeye nani hata atambe kwa upuuzi anao ufanya.

Huna lolote wewe,mkuki haupigwi konzi acha kutisha watu na kujifanya wewe ni mtu mkubwa sana ndani ya nchi hii wakati ni mpuuzi Fulani usiye na jipya
 
Acha upuuzi wa kupangia watu kipi wafikiri,huu ni uhayawani wa kiwango cha sgr
 
Anajifanya afisa usalama wa taifa kumbe anachimba mihogo kigoma [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Imagine mshahara wa Mwalimu wa Diploma wenye Makato ya mikopo🤣 Halafu mwalimu mwenyewe mgogo mvivuuuu, hana plan B....lazima apagawe.
Kweli, mikopo mibaya ndiyo changamoto
 
Walimu hawahawa wanaofurahia mwenzao akicharazwa bakora na mkuu wa wilaya mbele ya wanafunzi?
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kazi ya ualimu inaweza kumpa mtu maisha bora ya milo mitatu na usafiri binafsi wa uhakika. Imagine mpaka Mei mosi inafika hakuna mwalimu au kundi lolote lililosimama kutetea maslahi Yao

Inaumiza sana kuona mamluki wenye mavazi ya cwt kuvaa mabango ya kinafiki kumsifu Rais eti Asante Kwa vishikwambi 2025 umepita, who says? Walimu ivi kishikwambi ndokifanye umpe Rais Kura 2025??

Kuna baadhi ya walimu hamko serious mimi ningetegemea siku ya Mei mosi mfanye peaceful demonstration lakini hola mnaenda kuimba manyimbo ya kizee ya kumsifu Rais tu huku mnalala njaa mnanuka majasho ya shida madeni tupu

Ngoja Nile nyama narudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…