Nagulo village japo wewe ni mpawayungu uliyerudi kwa jina jipya, nitaendelea kuratibu mwenendo wako. Kama utaendeleza uchochezi na dharau, utakipata. Pia nikujuze tu kuwa mna CWT, mna TSC, mna Teachers clusters na kubwa zaidi TAMISEMI na Wizara ya Elimu. Peleka madai yenu huko. Walimu wengi hawapo humu. Unawachochea wenzio kwa kutumia Saikolojia huku pia ukiwadhalilisha.
Nakupa muda wa kustaarabika sasa, tumia mbinu mujarabu kuwasilisha hoja kwa wahusika kwa sababu humu jukwaani upo huru ila uhuru usitumike kuudhi, kudhalilisha na kukera na hata kuchochea.
Asanteeehh.