Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Kwahiyo wewe wasemaje tatizo ni waalimu wenyewe au serikali? Unatushauri je sisi waalimu.
 
Chuma kimerudi,
Kinaendelea kilipoishia.
Jamii zetu zinahitaji watu kama mpyayangu village, wenye misimamo kubadili hao adamant people kama waalimu, hali zao mbaya ila ndo wako mistari wambele kusifia kila kitu........wengi huona anawaponda ila anawasaidia kuwapazia sauti kwa wakubwa wenu na creat awareness katika jamii nzima.
 
Kaz za local government ni hvyo , ...

NB:- Mshahara ni mbegu kwa wa ajira wengi sio walimu tuu , tupo serikali tunajiona , wapo walimu waliotupta maisha kwakuw wanajiongez na wapo ambao wanaish vzr kulko cc kwa mshahara tuu, Ni jins gan unapangalia mambo
 
Duu nibakizie japo kidogo..
 
Ila kumbuka waalimu ni 47% ya watumishi wote wa sarikali, kiwastani wana hali mbaya kupita tasinia zingine.
 
Mimi huwa nakuelewa sana sana basi tu watu hawajui kile unachozungumza. KADA ya ualimu ni kada muhimu sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…