Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Typing error, the sentence is clearly known as whole
Kwahiyo wewe wasemaje tatizo ni waalimu wenyewe au serikali? Unatushauri je sisi waalimu.Nitakuwa wa mwisho kuamini kazi ya ualimu inaweza kumpa mtu maisha bora ya milo mitatu na usafiri binafsi wa uhakika. Imagine mpaka Mei mosi inafika hakuna mwalimu au kundi lolote lililosimama kutetea maslahi Yao
Inaumiza sana kuona mamluki wenye mavazi ya cwt kuvaa mabango ya kinafiki kumsifu Rais eti Asante Kwa vishikwambi 2025 umepita, who says? Walimu ivi kishikwambi ndokifanye umpe Rais Kura 2025??
Kuna baadhi ya walimu hamko serious mimi ningetegemea siku ya Mei mosi mfanye peaceful demonstration lakini hola mnaenda kuimba manyimbo ya kizee ya kumsifu Rais tu huku mnalala njaa mnanuka majasho ya shida madeni tupu
Ngoja Nile nyama narudi View attachment 2621499
Jamii zetu zinahitaji watu kama mpyayangu village, wenye misimamo kubadili hao adamant people kama waalimu, hali zao mbaya ila ndo wako mistari wambele kusifia kila kitu........wengi huona anawaponda ila anawasaidia kuwapazia sauti kwa wakubwa wenu na creat awareness katika jamii nzima.Chuma kimerudi,
Kinaendelea kilipoishia.
Duu nibakizie japo kidogo..Nitakuwa wa mwisho kuamini kazi ya ualimu inaweza kumpa mtu maisha bora ya milo mitatu na usafiri binafsi wa uhakika. Imagine mpaka Mei mosi inafika hakuna mwalimu au kundi lolote lililosimama kutetea maslahi Yao
Inaumiza sana kuona mamluki wenye mavazi ya cwt kuvaa mabango ya kinafiki kumsifu Rais eti Asante Kwa vishikwambi 2025 umepita, who says? Walimu ivi kishikwambi ndokifanye umpe Rais Kura 2025??
Kuna baadhi ya walimu hamko serious mimi ningetegemea siku ya Mei mosi mfanye peaceful demonstration lakini hola mnaenda kuimba manyimbo ya kizee ya kumsifu Rais tu huku mnalala njaa mnanuka majasho ya shida madeni tupu
Ngoja Nile nyama narudi View attachment 2621499
Ila kumbuka waalimu ni 47% ya watumishi wote wa sarikali, kiwastani wana hali mbaya kupita tasinia zingine.Kaz za local government ni hvyo , ...
NB:- Mshahara ni mbegu kwa wa ajira wengi sio walimu tuu , tupo serikali tunajiona , wapo walimu waliotupta maisha kwakuw wanajiongez na wapo ambao wanaish vzr kulko cc kwa mshahara tuu, Ni jins gan unapangalia mambo
Mimi huwa nakuelewa sana sana basi tu watu hawajui kile unachozungumza. KADA ya ualimu ni kada muhimu sana sanaNitakuwa wa mwisho kuamini kazi ya ualimu inaweza kumpa mtu maisha bora ya milo mitatu na usafiri binafsi wa uhakika. Imagine mpaka Mei mosi inafika hakuna mwalimu au kundi lolote lililosimama kutetea maslahi Yao