Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Kutumia mshahara sio dhambi, shida mshahara wenyewe unatosha sasa? Bora daktari anadunduliza za kondom na kutoa mimba Sasa mwalimu atapata Wapi ziada ya pesa kama sio mshahara tuu
UKISEMA HVYO UPO SAHIHI MKUU , SASA TATZO CHAKI NA VITABU HAVINA SOKO

WACHA WACHAKAE[emoji3061][emoji3061] HADI WATAPOENDA NJE YA BOX
 
Walimu almost wote wanategemea mshahara, kamshahara kenyewe sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waalimu wengi wana oana kupunguza gharama za maisha mualimu wa kawaida hawezi kutoa mahare ya mwana mke mzuri wakutoka kwenye familia inao jielewa. Ndoa zao nyingi ni za kienyeji kuoneana huruma tu......hali ya waalimu sio kusema ukweli.
 
Nyie mnaoponda walimu mnachekesha kweli. Aliyewaambia miasha mazuri yanapimwa na kazi ya mtu ni Nani?. Ao mnaozan wanamaisha mazur kisa wanalipwa mshaara mnono Kama madaktari, wapo wengi tunawajua n walala hoi tu. Binafsi swala la kutoboa maisha n akili ya mtu sio wingi wa pesa. Mtoa mada nimemuelewa lakn Kuna wa2 kazi ku comment kuwatukana tu walimu wakat bila walimu wao Leo wasingeweza ata ku comment jamii forums. Mwalimu aheshimiwe Sana, kumtukana mwalimu ni kosa kubwa. Ptuuuuh
 
Mimi nimetoka familia hiyo baba ni mwanajeshi so i know them very well ata mzee amejenga nyuma 4 kimara lakn ni pato ndan ya mshahara na mikopo tuu
Kwahiyo kuna mualimu anae weza kujenga nyumba nne kama baba yako livyo weza kabla ya kustaafu? Kama unamjua mtaje, wanaishia kununua viwanja kujenga kuna washinda.
 
Kaz za local government ni hvyo , ...

NB:- Mshahara ni mbegu kwa wa ajira wengi sio walimu tuu , tupo serikali tunajiona , wapo walimu waliotupta maisha kwakuw wanajiongez na wapo ambao wanaish vzr kulko cc kwa mshahara tuu, Ni jins gan unapangalia mambo
Hakuna mwalimu mwenye maisha bora bhana tusidanganyane, wengi wao wanaishia kujenga mapagale na kununua vitz
 
Kwahiyo kuna mualimu anae weza kujenga nyumba nne kama baba yako kabla ya kustaafu? Kama unamjua mtaja, wanaushia kununua viwanja kujenga kunawashinda.
Askar wa kawaid wa jeshi awez kufanya hvyo

Ata huyu mzee wangu amefanya hvyoo huku mwishon baada ya kutumia muda mrefu na kuhama kutoka kwenye level ya Askari na kuw afisa



On Top
Wanaposho lak 3 + vinywaji lak 1 = jumla lak 4 alip nauli akiend kazn


Kwahyo mwenye akili anawez kukopea mshahara ukabak kiduchu akajenga na kununua gari , Laki nne akaishi nayo mwez mzm hvyoo
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kazi ya ualimu inaweza kumpa mtu maisha bora ya milo mitatu na usafiri binafsi wa uhakika. Imagine mpaka Mei mosi inafika hakuna mwalimu au kundi lolote lililosimama kutetea maslahi Yao

Inaumiza sana kuona mamluki wenye mavazi ya cwt kuvaa mabango ya kinafiki kumsifu Rais eti Asante Kwa vishikwambi 2025 umepita, who says? Walimu ivi kishikwambi ndokifanye umpe Rais Kura 2025??

Kuna baadhi ya walimu hamko serious mimi ningetegemea siku ya Mei mosi mfanye peaceful demonstration lakini hola mnaenda kuimba manyimbo ya kizee ya kumsifu Rais tu huku mnalala njaa mnanuka majasho ya shida madeni tupu

Ngoja Nile nyama narudi View attachment 2621499
Babu hakuna mwalimu anayeridhika na hali yake zaidi tume take easy tusichafue hali ya hewa....

Hapa kituoni kwangu kuanzia saa 4 asubuhi tumepeana shift za kutoroka tunazama kitaa tunafanya mishe zetu...

Walimu ni sisi wakimya na siyo kwamba hatuon kada nyingine zikipata marupurupu hapana tunatulia tu wataona wenyewe matokeo ya watoto wao wanaotuletea mwisho wa mwaka...
 
Babu hakuna mwalimu anayeridhika na hali yake zaidi tume take easy tusichafue hali ya hewa....

Hapa kituoni kwangu kuanzia saa 4 asubuhi tumepeana shift za kutoroka tunazama kitaa tunafanya mishe zetu...

Walimu ni sisi wakimya na siyo kwamba hatuon kada nyingine zikipata marupurupu hapana tunatulia tu wataona wenyewe matokeo ya watoto wao wanaotuletea mwisho wa mwaka...
Chafueni hali ya hewa Bob, washen Moto
 
Back
Top Bottom