Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Nitakuwa wa mwisho kuamini kazi ya ualimu inaweza kumpa mtu maisha bora ya milo mitatu na usafiri binafsi wa uhakika. Imagine mpaka Mei mosi inafika hakuna mwalimu au kundi lolote lililosimama kutetea maslahi Yao

Inaumiza sana kuona mamluki wenye mavazi ya cwt kuvaa mabango ya kinafiki kumsifu Rais eti Asante Kwa vishikwambi 2025 umepita, who says? Walimu ivi kishikwambi ndokifanye umpe Rais Kura 2025??

Kuna baadhi ya walimu hamko serious mimi ningetegemea siku ya Mei mosi mfanye peaceful demonstration lakini hola mnaenda kuimba manyimbo ya kizee ya kumsifu Rais tu huku mnalala njaa mnanuka majasho ya shida madeni tupu

Ngoja Nile nyama narudi View attachment 2621499
Karibu tena mkuu

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Babu hakuna mwalimu anayeridhika na hali yake zaidi tume take easy tusichafue hali ya hewa....

Hapa kituoni kwangu kuanzia saa 4 asubuhi tumepeana shift za kutoroka tunazama kitaa tunafanya mishe zetu...

Walimu ni sisi wakimya na siyo kwamba hatuon kada nyingine zikipata marupurupu hapana tunatulia tu wataona wenyewe matokeo ya watoto wao wanaotuletea mwisho wa mwaka...
Kwaiyo mmeanzisha passive resistance?
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kazi ya ualimu inaweza kumpa mtu maisha bora ya milo mitatu na usafiri binafsi wa uhakika. Imagine mpaka Mei mosi inafika hakuna mwalimu au kundi lolote lililosimama kutetea maslahi Yao

Inaumiza sana kuona mamluki wenye mavazi ya cwt kuvaa mabango ya kinafiki kumsifu Rais eti Asante Kwa vishikwambi 2025 umepita, who says? Walimu ivi kishikwambi ndokifanye umpe Rais Kura 2025??

Kuna baadhi ya walimu hamko serious mimi ningetegemea siku ya Mei mosi mfanye peaceful demonstration lakini hola mnaenda kuimba manyimbo ya kizee ya kumsifu Rais tu huku mnalala njaa mnanuka majasho ya shida madeni tupu

Ngoja Nile nyama narudi View attachment 2621499
PUNGUZA SAUTI TUPO MSIBANI
 
Jamii zetu zinahitaji watu kama mpyayangu village, wenye misimamo kubadili hao adamant people kama waalimu, hali zao mbaya ila ndo wako mistari wambele kusifia kila kitu........wengi huona anawaponda ila anawasaidia kuwapazia sauti kwa wakubwa wenu na creat awareness katika jamii nzima.
Sahii ila anatumia lugha kali
 
Back
Top Bottom