Kweli tu
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 397
- 448
Kuliko ile kada ya yule aliye kupunguzia dereva ktk safari yako ya Dar- Mbeya?Mimi huwa nakuelewa sana sana basi tu watu hawajui kile unachozungumza. KADA ya ualimu ni kada muhimu sana sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuliko ile kada ya yule aliye kupunguzia dereva ktk safari yako ya Dar- Mbeya?Mimi huwa nakuelewa sana sana basi tu watu hawajui kile unachozungumza. KADA ya ualimu ni kada muhimu sana sana
Nipeni maua yanguWalimu walikuwa wamekumiss kweli, kama waTz walivyom'miss Roma
Hiyo laana utaikuta ktk familia yako kupitia wanao maana mwalimu humpa mwanafunzi kile alichonacho.waaache waumie ni washenzi ndo wanaotumiwa katika wizi wa kura ,hiyo laana lazima iwatafune
Hahahahaa too technical hahahahKuliko ile kada ya yule aliye kupunguzia dereva ktk safari yako ya Dar- Mbeya?
@Moderator ContentCreatorModerator, ContentCreator maxime mello
Tumechoka dhihaka za huyu mtu juu ya walimu, mnapomuachia ina maana mnaungana nae kwa matusi na dhihaka zake kila siku,
HAIWEZEKANI na HAIKUBALIKI
😂😂😂😂Kirikou anakuja anakuja😂😂😂maji yamerejea majiiiiiiiii. majiiiiiiiiiiiiiiii
Karibu tena mkuuNitakuwa wa mwisho kuamini kazi ya ualimu inaweza kumpa mtu maisha bora ya milo mitatu na usafiri binafsi wa uhakika. Imagine mpaka Mei mosi inafika hakuna mwalimu au kundi lolote lililosimama kutetea maslahi Yao
Inaumiza sana kuona mamluki wenye mavazi ya cwt kuvaa mabango ya kinafiki kumsifu Rais eti Asante Kwa vishikwambi 2025 umepita, who says? Walimu ivi kishikwambi ndokifanye umpe Rais Kura 2025??
Kuna baadhi ya walimu hamko serious mimi ningetegemea siku ya Mei mosi mfanye peaceful demonstration lakini hola mnaenda kuimba manyimbo ya kizee ya kumsifu Rais tu huku mnalala njaa mnanuka majasho ya shida madeni tupu
Ngoja Nile nyama narudi View attachment 2621499
Kwaiyo mmeanzisha passive resistance?Babu hakuna mwalimu anayeridhika na hali yake zaidi tume take easy tusichafue hali ya hewa....
Hapa kituoni kwangu kuanzia saa 4 asubuhi tumepeana shift za kutoroka tunazama kitaa tunafanya mishe zetu...
Walimu ni sisi wakimya na siyo kwamba hatuon kada nyingine zikipata marupurupu hapana tunatulia tu wataona wenyewe matokeo ya watoto wao wanaotuletea mwisho wa mwaka...
Anaitwa yahudi 😂😂😂😂Moderator, ContentCreator maxime mello
Tumechoka dhihaka za huyu mtu juu ya walimu, mnapomuachia ina maana mnaungana nae kwa matusi na dhihaka zake kila siku,
HAIWEZEKANI na HAIKUBALIKI
Bora wafanye hivoKwaiyo mmeanzisha passive resistance?
Shukran Erythrocyte
🙏🙏🙏🙏🙏Mwanangu mwenyewe umerudi
Ova
PUNGUZA SAUTI TUPO MSIBANINitakuwa wa mwisho kuamini kazi ya ualimu inaweza kumpa mtu maisha bora ya milo mitatu na usafiri binafsi wa uhakika. Imagine mpaka Mei mosi inafika hakuna mwalimu au kundi lolote lililosimama kutetea maslahi Yao
Inaumiza sana kuona mamluki wenye mavazi ya cwt kuvaa mabango ya kinafiki kumsifu Rais eti Asante Kwa vishikwambi 2025 umepita, who says? Walimu ivi kishikwambi ndokifanye umpe Rais Kura 2025??
Kuna baadhi ya walimu hamko serious mimi ningetegemea siku ya Mei mosi mfanye peaceful demonstration lakini hola mnaenda kuimba manyimbo ya kizee ya kumsifu Rais tu huku mnalala njaa mnanuka majasho ya shida madeni tupu
Ngoja Nile nyama narudi View attachment 2621499
Sahii ila anatumia lugha kaliJamii zetu zinahitaji watu kama mpyayangu village, wenye misimamo kubadili hao adamant people kama waalimu, hali zao mbaya ila ndo wako mistari wambele kusifia kila kitu........wengi huona anawaponda ila anawasaidia kuwapazia sauti kwa wakubwa wenu na creat awareness katika jamii nzima.