UKISEMA HVYO UPO SAHIHI MKUU , SASA TATZO CHAKI NA VITABU HAVINA SOKOKutumia mshahara sio dhambi, shida mshahara wenyewe unatosha sasa? Bora daktari anadunduliza za kondom na kutoa mimba Sasa mwalimu atapata Wapi ziada ya pesa kama sio mshahara tuu
Waalimu wengi wana oana kupunguza gharama za maisha mualimu wa kawaida hawezi kutoa mahare ya mwana mke mzuri wakutoka kwenye familia inao jielewa. Ndoa zao nyingi ni za kienyeji kuoneana huruma tu......hali ya waalimu sio kusema ukweli.Walimu almost wote wanategemea mshahara, kamshahara kenyewe sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo kuna mualimu anae weza kujenga nyumba nne kama baba yako livyo weza kabla ya kustaafu? Kama unamjua mtaje, wanaishia kununua viwanja kujenga kuna washinda.Mimi nimetoka familia hiyo baba ni mwanajeshi so i know them very well ata mzee amejenga nyuma 4 kimara lakn ni pato ndan ya mshahara na mikopo tuu
Wajaribu huo ushenz 2025 watajutawaaache waumie ni washenzi ndo wanaotumiwa katika wizi wa kura ,hiyo laana lazima iwatafune
Unatetewa alafu unamdhihaki anayeuyu jamaa ni [emoji304]
Wengi wao wanajenga mapagaleKwahiyo kuna mualimu anae weza kujenga nyumba nne kama baba yako kabla ya kustaafu? Kama unamjua mtaja, wanaushia kununua viwanja kujenga kunawashinda.
Hakuna mwalimu mwenye maisha bora bhana tusidanganyane, wengi wao wanaishia kujenga mapagale na kununua vitzKaz za local government ni hvyo , ...
NB:- Mshahara ni mbegu kwa wa ajira wengi sio walimu tuu , tupo serikali tunajiona , wapo walimu waliotupta maisha kwakuw wanajiongez na wapo ambao wanaish vzr kulko cc kwa mshahara tuu, Ni jins gan unapangalia mambo
Askar wa kawaid wa jeshi awez kufanya hvyoKwahiyo kuna mualimu anae weza kujenga nyumba nne kama baba yako kabla ya kustaafu? Kama unamjua mtaja, wanaushia kununua viwanja kujenga kunawashinda.
Nikupe location uje uone maisha ya walimu side BHakuna mwalimu mwenye maisha bora bhana tusidanganyane, wengi wao wanaishia kujenga mapagale na kununua vitz
Wana maliza kujenga nyumba zao kubwa tena madilisha ya nyumba wanayaziba na tofari, una washangaa hawahitaji oksijani tena......., umasikini ni laana kweliHakuna mwalimu mwenye maisha bora bhana tusidanganyane, wengi wao wanaishia kujenga mapagale na kununua vitz
Babu hakuna mwalimu anayeridhika na hali yake zaidi tume take easy tusichafue hali ya hewa....Nitakuwa wa mwisho kuamini kazi ya ualimu inaweza kumpa mtu maisha bora ya milo mitatu na usafiri binafsi wa uhakika. Imagine mpaka Mei mosi inafika hakuna mwalimu au kundi lolote lililosimama kutetea maslahi Yao
Inaumiza sana kuona mamluki wenye mavazi ya cwt kuvaa mabango ya kinafiki kumsifu Rais eti Asante Kwa vishikwambi 2025 umepita, who says? Walimu ivi kishikwambi ndokifanye umpe Rais Kura 2025??
Kuna baadhi ya walimu hamko serious mimi ningetegemea siku ya Mei mosi mfanye peaceful demonstration lakini hola mnaenda kuimba manyimbo ya kizee ya kumsifu Rais tu huku mnalala njaa mnanuka majasho ya shida madeni tupu
Ngoja Nile nyama narudi View attachment 2621499
One two one two tunatest mitamboOnce again.....kasharudi πππππππ mpwayungu
Mkeka umechanikaI bet Mpwayungu Village ni ticha pia
Chafueni hali ya hewa Bob, washen MotoBabu hakuna mwalimu anayeridhika na hali yake zaidi tume take easy tusichafue hali ya hewa....
Hapa kituoni kwangu kuanzia saa 4 asubuhi tumepeana shift za kutoroka tunazama kitaa tunafanya mishe zetu...
Walimu ni sisi wakimya na siyo kwamba hatuon kada nyingine zikipata marupurupu hapana tunatulia tu wataona wenyewe matokeo ya watoto wao wanaotuletea mwisho wa mwaka...