Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Mfanyabiashara ni mtu mwenye upeo mkubwa sana wa kuona fursa na kutekeleza, ndio maana wanajisimamia na kuanzisha taasisi zao; ila waajiriwa wanachangamoto za maono, ndio maana wameajiriwa, watakuambia tukifukuzwa kazi tutaishije?​
 
Mfanyabiashara ni mtu mwenye upeo mkubwa sana wa kuona fursa na kutekeleza, ndio maana wanajisimamia na kuanzisha taasisi zao; ila waajiriwa wanachangamoto za maono, ndio maana wameajiriwa, watakuambia tukifukuzwa kazi tutaishije?​
Kwani wakifukuzwa kazi na maisha yanaishia hapo?
 
Tatizo la walimu ni kundi kubwa lisilojua kupigania haki zao, kupata usaidizi wa shida zenu sio lazima kugoma, kwa idadi yenu mnaweza fanya jambo serikali ikawasikiliza vizuri tu,

Yaani chama chenu tu cha cwt kinawa buruza sasa mtaweza kuiwajibisha serikali?

Mpwayungu na ufala wake wote ameona tatizo na kuwambia ukweli lakin bado mnaona anawafitini na kuwaonea wivu, KWA kipi hasa,?

Maticha most of them mnatia aibu huku mitaani, unakuta kavaa kadeti imepauka kinoma na shati la ming'ao na buti imechafuka mnooo, afu hana hatari, una mshahara lkn muonekano wako bora hata mbeba mizigo,

Yaani mwalimu kwenye meimosi mbele ya Rais badala ya kutoa malalamiko ya msingi ya kitaasisi unasema tunashukuru kutupatia vishkwambi ila mtufundishe kuvitumia, HUU ni upuuzi wa hali ya juu
 
Awamu hii wametoa pesa zao za nauli kumchangia Samia form ya kugombea urais 2025
 
Kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…