Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Babu hakuna mwalimu anayeridhika na hali yake zaidi tume take easy tusichafue hali ya hewa....

Hapa kituoni kwangu kuanzia saa 4 asubuhi tumepeana shift za kutoroka tunazama kitaa tunafanya mishe zetu...

Walimu ni sisi wakimya na siyo kwamba hatuon kada nyingine zikipata marupurupu hapana tunatulia tu wataona wenyewe matokeo ya watoto wao wanaotuletea mwisho wa mwaka...
Aiseeee [emoji15] [emoji15].. Vipi draft ya mitaala ya Elimu mmeipitia lakini na kutoa comments zenu? [emoji12]
 
Moderator, ContentCreator maxime mello

Tumechoka dhihaka za huyu mtu juu ya walimu, mnapomuachia ina maana mnaungana nae kwa matusi na dhihaka zake kila siku,

HAIWEZEKANI na HAIKUBALIKI
Kipi alichoandika ambacho sicho.
Nipo serikalini Tena local government miaka 11 ila HAKUNA UONGO anasema Mpwayungu.
1. Walimu kweli ni waoga
2. Walimu kweli ni wanafiki
3. Walimu kweli ni fata upepo
4. Walimu kweli huridhika na maneno tu.

Kipi KASEMA UONGO.

#YNWA
 
Nyie mnaoponda walimu mnachekesha kweli. Aliyewaambia miasha mazuri yanapimwa na kazi ya mtu ni Nani?. Ao mnaozan wanamaisha mazur kisa wanalipwa mshaara mnono Kama madaktari, wapo wengi tunawajua n walala hoi tu. Binafsi swala la kutoboa maisha n akili ya mtu sio wingi wa pesa. Mtoa mada nimemuelewa lakn Kuna wa2 kazi ku comment kuwatukana tu walimu wakat bila walimu wao Leo wasingeweza ata ku comment jamii forums. Mwalimu aheshimiwe Sana, kumtukana mwalimu ni kosa kubwa. Ptuuuuh
Bila "kila mtu" basi usingekuwepo
1. Bila daktari USINGEKUWEPO
2. Bila mhandisi USINGEKUWEPO
3. Bila mkurugenzi USINGEKUWEPO

Cha pili.
NDIO NIKWELI, ukiwa na hela nyingi basi mafanikio huja haraka.

Cha tatu.
Walimu ndio tuko nao huku, na asemayo mpwayungu NI UKWELI MTUPU.

#YNWA
 
Bila "kila mtu" basi usingekuwepo
1. Bila daktari USINGEKUWEPO
2. Bila mhandisi USINGEKUWEPO
3. Bila mkurugenzi USINGEKUWEPO

Cha pili.
NDIO NIKWELI, ukiwa na hela nyingi basi mafanikio huja haraka.

Cha tatu.
Walimu ndio tuko nao huku, na asemayo mpwayungu NI UKWELI MTUPU.

#YNWA
Mbona waalimu hawataki kukubaliana na ukweli, mpyayungu ni messenger don't shoot the messenger, ila soma the massage........waalimu hali zetu mbaya kupita maelezo vijijini baadhi ya waalimu ni wa chafu hata sabuni ya kuoshea nguo ni shida, kunyoosha ndo usisema mtu mwenye muonekano kama huo unategemea afundishe mwanao awe dakitari.
 
Back
Top Bottom