Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

unajua mtu hadi akachagua kuwa mwalimu anayajua haya yote...

Haina haja ya kujifanya unajua haki za mtu mwingine

pia wengine wanatumia jamii forums kama farijiko lao sasa unapoleta mada za hivi unategemea nini?
Ndio maana Kuna chama cha wafanyakazi "kutetea maslahi ya wafanyakazi"
CWT imeshindwa tetea, ngoja Mpwayungu awasaidie Kazi.

#YNWA
 
Waalimu acheni inferior complex mnataka watu wawapambania kiumbambe mjibuni myayungu kihoja sio kulia lia kama wanyonge, tuambieni uongo uko wapi katika hoja zake?
kama walimu wenyewe wapo kimya wewe ni nani umpambanie mwalimu?

Kwani mwalimu mwenyewe haoni hali yake? Je hawazi alternative zingine?
 
Ndio maana Kuna chama cha wafanyakazi "kutetea maslahi ya wafanyakazi"
CWT imeshindwa tetea, ngoja Mpwayungu awasaidie Kazi.

#YNWA
sawa kabisa, awe tayari kuface consequences....

Mwisho wa siku hakuna pesa inayotosha inategemea na strategies zako unazotumia kujipambania.

Mtu anaelipwa take home laki 5 hauwezi sema haimtoshi kabisa mbona watu wanaishi kwa laki 2.
 
Hapo umeanza kujibu hoja, kuliko kulalamika, tuseme watu wana ingia ualimuni kwasbb kazi hupatikana kirahisi ila wakipata wana jisahau, kutafuta vipato vingine kinacho sababisha wa ishi maisha ya dhiki.
 
Kipi alichoandika ambacho sicho.
Nipo serikalini Tena local government miaka 11 ila HAKUNA UONGO anasema Mpwayungu.
1. Walimu kweli ni waoga
2. Walimu kweli ni wanafiki
3. Walimu kweli ni fata upepo
4. Walimu kweli huridhika na maneno tu.

Kipi KASEMA UONGO.

#YNWA
Bora umesema
 
Ivi walimu hamuoni aibu kuona wafanyabiashara wa Kariakoo kuweka mgomo na kumsuta uso Kwa uso mwigulu nchemba tena bila kupepesa macho. Wafanyabiashara tena wengi hawajasoma sana kama nyinyi wamejitambua na kuona njia rahisi na yaharaka kusikilizwa ni kufanya mgomo Sasa nyie na mielimu yenu bado mnakenua tu hamuoni wenzenu tayari wamesikilizwa kero zao tayari problem solved

Haya Sasa kama kweli mnauchungu na future yenu kuwa ualimu ni tegemeo la maisha yenu basi anzeni mgomo wa kudai maslahi yenu. Yani ticha unasimamia mitihani ya mock mkoa na wilaya Bure bila malipo, unasahihisha Bure bila malipo tena mnaambiwa mitihani mtasahishia shuleni ili usidai per diem, viongozi wa halmashauri wanawafanya malofa na mnakuwa waoga kukataa Injustice.

Yani mkifanya kama wa Kariakoo basi ndani ya wiki moja tu wenye sifa za kupanda madaraja mtapanda, wakuhama mtahama, wakusoma mtaenda kujiendeleza, mliotapeliwa pesa zenu za uhamisho na leave mtapewa, mtawekewa mpaka TEACHING ALLOWANCE.

"" When injustice becomes law, resistance becomes duty "".. Jefferson Thomas
 
[emoji419][emoji419][emoji419]
 
Maticha wametuliza tako sindano iingie.
 
Back
Top Bottom