Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Yaani nimeshangaa eti kutaja dagaa chakula cha kimaskini haujui utamu wa dagaa 😋Alokwambia dagaa wanakula maskini nani? Dagaa ni chakula bora kuliko nyama mdogo wangu acha ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani nimeshangaa eti kutaja dagaa chakula cha kimaskini haujui utamu wa dagaa 😋Alokwambia dagaa wanakula maskini nani? Dagaa ni chakula bora kuliko nyama mdogo wangu acha ujinga
Ndokily siku? Dagaa ni valueless huwez fananisha na samaki au kuku kienyejiHuyo ni maskini,angekuwa tajiri asingeposti huo ujinga ndiyo shida za kuishi uswekeni,tajiri akila dagaa anamaintain,ila akila maskini kama mpwayungu village ndiyo inakuwa umasikini
Kisikolojia hapo tayari tushajua kuwa mleta post ni kapuku mtoa ukurutu
You hit the nail…Pamoja na ugumu wao ila hawajafikia kutamani kuwa jinsia fulani.
Walimu wa kiume Wana makalio magumu....kupigwa paipu ni ngumu....ila ukiwamanulia wanalenga mkuuHao walimu wanaolawiti wtoto kila sku na hao pia ni wale wale tu
una maana ganiPamoja na ugumu wao ila hawajafikia kutamani kuwa jinsia fulani.
Ulawiti unafanywa na Kila mtu,mapadri,masheikh nao wanalawiti,Hao walimu wanaolawiti wtoto kila sku na hao pia ni wale wale tu
Akili zenu walimu bhana, baada ya kupambana na haki zenu unakoment ushuzi tu humuWalimu wa kiume Wana makalio magumu....kupigwa paipu ni ngumu....ila ukiwamanulia wanalenga mkuu
AahaahaajWalimu wa kiume Wana makalio magumu....kupigwa paipu ni ngumu....ila ukiwamanulia wanalenga mkuu
Ugali dagaa ni buku jero, ugali samaki elfu ishirini. Akili zenu mbovu kama za walimuYaani nimeshangaa eti kutaja dagaa chakula cha kimaskini haujui utamu wa dagaa [emoji39]
Pungazeze una nini Cha kuongea mbele ya wanaume rijali wewe!!!?Akili zenu walimu bhana, baada ya kupambana na haki zenu unakoment ushuzi tu humu
Mkuu hiyo laki saba mwalimu yupi? Labda walimu wa London au BerlinWanapitia magumu sana
MWisho wa mwezi ana -ve balance
- Mshahara 700,000 kwa mwezi
- Nyumba ya kuishi mume, mke na watoto 200,000 kwa mwezi
- Nauli kwenda na kurudi kazini 100,000 kwa mawezi
- Ada za watoto
- Maji
- Umeme
- Chakula
- Mavazi
Naapa ukweli ndo huo
Haki zipi tena,wakati tulisema mshahara unatosha broAkili zenu walimu bhana, baada ya kupambana na haki zenu unakoment ushuzi tu humu
Dignity ya michupi, wananuka madeni mpaka Nzi wanawafata matakoniPamoja na ugumu wanaoupitia WAALIMU kwenye changamoto zao za kazi lakin hawajawahi kujitangazia USHOGA na kutafuta MABWANA hadharani..they have their own dignity and standards
SIO KUKU BWEGE aina yako ya kulilia Mabwana na kutamani kua Mwanamke
What a shame[emoji57][emoji57][emoji57]
Haijalishi Mjinga ni Mjinga tu hata akusaidie haitoi ujinga wakeKumbuka hao walimu pamoja na tabu zote wanazo pitia au walizo pitia ndo wametufanya mmi na wew tunajua kusoma na kuandika ugoro ugoro humu
Mkuu hiyo laki saba mwalimu yupi? Labda walimu wa London au Berlin