Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Hivi muda wa kufuatilia jirani kala nini mnautoa wapi huna mambo ya kufanya kama ni huo mkopo ulokopesha kwan wao ni wa kwanza kudaiwa mbona hata nchi inadaiwa ,hao ulowakopesha ndo wamekufanya uwachafue walimu wote ?mxxxxx
Huyu ni jike dume,ndiyo maana anapata muda wa kufanya umbea umbea Kama wanawake
 
🤣🤣🤣Sura yangu mashindano ya sura mbaya naweza kushinda bila shaka,ila waalimu walitufundisha mwandiko na mambo mengi......ila ndugu zetu hawa waoga sana
Shida ya walimu hasa wa Msingi Wana mabos wengi,mwalimu mmoja huyo huyo ni answerable Kwa:
1)Ministry of Education
2)Tamisemi
3)Ministry of Sports
4)Mkurugenzi Mtendaji
5)Wanasiasa wooooote,kuanzia mbunge Hadi mwenyekiti wa kitongoji,usisahau na wazazi wale vimbelembele

Sasa hapo atapumulia wapi!?
 
Kuna nyumba ya jirani yetu ni mwalimu kila siku wanakula ugali wa muhogo na dagaa wa bukoba, hawa watu Dunia imewatenga hata mimi nimewapiga marufuku Kuja nyumbani kwangu pamoja na watoto wao wasije kuniambukiza pepo la uoga na ufukara

Walimu mnakera ifike hatua mjipende huwa hamuogi nguo zenu ni hizo hizo
Hicho ndio chakula salama kabisa, huyo mwalimu atakuwa anakuja kukusalimia hospitali baada ya miaka ishirini ukiwa unaumwa sukari, presha na ngiri
 
Back
Top Bottom