Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Umetokea wapi Chief???Wapi katukana?
Onesha tusi hapo kwenye hoja ya mleta mada.
Vitendo vya ulawiti vimekithiri kwa walimu sijui ndo imani za kishirikina wanaamini ili wapandishwe madaraja kimazabe walau wapate kamshahara kingi kingi kidogo.
Watu wanaoaminiwa kuwa walezi wa watoto wawapo mashuleni badala yake wamekuwa walawiti.
Ungetuliza munkari wa ushawishi nadhani ungeelewa comment yangu ni ujumuisho wa topic zake zote za kunanga walimu.
Kwa swala la ulawiti hiyo ni tabia ya mtu na si kada yake. Kuna masheikh na maaskofu wanalawiti watoto, haimaanishi wafuasi wote wa imani zao nao wanalawiti.
Anyways tunatofautiana uelewa hivyo si sehemu yangu kuelewa unachoelewa ama kukulazimisha uelewe nielewacho.
Uwe na Jumatatu yenye baraka tele.