Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

mpwayungu village ni mtu mwenye hasira sana dhidi ya madhila mabaya wanayofanyiwa Walimu na kwa bahati mbaya zaidi Walimu wenyewe hawajitambui (pengine) na hiki ndio kinachomuumiza Mpwa wangu. Naamini ana nia njema, kuna namna nyingi za kufikisha ujumbe, lengo ni kuwatia hamasa/hasira ili wajitambue na mamlaka ziache kuwatumia vibaya kwa kutumia walimu wachache.
Open truth, [emoji17]
 
Aahhaaahh

Anaogopa shoo Yako

Naona anaona Bora amtunuku mzee wangu mtu mbad National Anthem
Mtamuua Mpwayungu, mwenzenu Leo kafurahi kapata matumaini ya PA kujiweka.....Wallahi ningemkopea NMB Nimlipie Ada ya masters ya open....imagine unasoma huku umefungiwa ndani, anashinda na taulo sebuleni huku anasoma kwenye PC...🤣🤣🤣🤣 Tungeona Kama angetukana walimu.
 
Ndo aache kuinyea mikono inayoweza kumlisha

Apunguze dharau

Tena kama mtoto wa kiume aache hayo mapigo
 
Aaahaajaja

Mkuu eti unataka kusoma Masters Open University of Tanzania!?

Sema Ili niongee na UVCCM wenzangu tuchangie Hela ya ada
Jamani Hilo niachieni Mie, nitamkopea bank....accommodation juu yangu....la sivyo tutampoteza huyu.
We mtafute connection ya uafisa elimu Ili akawafokee walimu vizuri.
 
Hakuna mwalimu huyu Kwa msimamo wangu na nalijua hili kwakua najua akili zao za kujiongeza kibiashara ni zero. Ukiona mwalimu ana million mia tu ujue huyo kastafu juzi na baada ya wiki mbili utakuta kanunua pikipiki na anaanza ujenzi wa nyumba ya kimasikini isiyozidi million ishirini.

Walimu hawa sijui walimkosea nini mwenyezi Mungu. Jana Kuna mwalimu kalawiti mtoto wa darasa la tatu chooni, yani unafanya mapenzi kwenye vyoooo akili za walimu hizi dah.

Mimi ni mwl nina milioni 345.6
 
Back
Top Bottom