Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu madam hajamjua tu huyu failed teacher mpwayungu villageNoma sana, kuna walimu wa hovyo mno kama huyo uliyemsema
Oya ticha vp [emoji23]Noma sana, kuna walimu wa hovyo mno kama huyo uliyemsema
Open truth, [emoji17]mpwayungu village ni mtu mwenye hasira sana dhidi ya madhila mabaya wanayofanyiwa Walimu na kwa bahati mbaya zaidi Walimu wenyewe hawajitambui (pengine) na hiki ndio kinachomuumiza Mpwa wangu. Naamini ana nia njema, kuna namna nyingi za kufikisha ujumbe, lengo ni kuwatia hamasa/hasira ili wajitambue na mamlaka ziache kuwatumia vibaya kwa kutumia walimu wachache.
Mtamuua Mpwayungu, mwenzenu Leo kafurahi kapata matumaini ya PA kujiweka.....Wallahi ningemkopea NMB Nimlipie Ada ya masters ya open....imagine unasoma huku umefungiwa ndani, anashinda na taulo sebuleni huku anasoma kwenye PC...🤣🤣🤣🤣 Tungeona Kama angetukana walimu.
Ndo aache kuinyea mikono inayoweza kumlishaMtamuua Mpwayungu, mwenzenu Leo kafurahi kapata matumaini ya PA kujiweka.....Wallahi ningemkopea NMB Nimlipie Ada ya masters ya open....imagine unasoma huku umefungiwa ndani, anashinda na taulo sebuleni huku anasoma kwenye PC...🤣🤣🤣🤣 Tungeona Kama angetukana walimu.
AaaaahhhjOpen truth, [emoji17]
Mie hata elfu tatu sina, songesha na deni , mpawa nina deni, mgodi nina deni, nipige tough nina deni, nmb fasta nina deni 😅😅😅Mimi namtaka Mpwayu, nyie wenye milioni 200 bank siwataki🤣🤣🤣
AaahaajajaOya ticha vp [emoji23]
Siamini Hadi Mpwayu athibitishe, yeye anajua financial status ya watumishi na wasio watumishi wote🤣🤣🤣Mie hata elfu tatu sina, songesha na deni , mpawa nina deni, mgodi nina deni, nipige tough nina deni, nmb fasta nina deni 😅😅😅
Ahaahaaah,dahNa hivi vi mvuaaa 😅😅 atajifungua mwakani mwezi wa kwanza au wa pili
AahahahaSiamini Hadi Mpwayu athibitishe, yeye anajua financial status ya watumishi na wasio watumishi wote🤣🤣🤣
Jamani Hilo niachieni Mie, nitamkopea bank....accommodation juu yangu....la sivyo tutampoteza huyu.Aaahaajaja
Mkuu eti unataka kusoma Masters Open University of Tanzania!?
Sema Ili niongee na UVCCM wenzangu tuchangie Hela ya ada
Sasa mie deiwaka 😅😅😅Siamini Hadi Mpwayu athibitishe, yeye anajua financial status ya watumishi na wasio watumishi wote🤣🤣🤣
Hadi mdogo angu Mpwayu aniruhusu, apitie Kwanza AC zako akague🤣M
Miye Nina afu mbili tu
Nitunuku basi
Hahahaa basi yaishe nisije nikanunua kesiHana hasira yoyote huyo
Asikudanganye
Mimi ni mwl nina milioni 345.6Hakuna mwalimu huyu Kwa msimamo wangu na nalijua hili kwakua najua akili zao za kujiongeza kibiashara ni zero. Ukiona mwalimu ana million mia tu ujue huyo kastafu juzi na baada ya wiki mbili utakuta kanunua pikipiki na anaanza ujenzi wa nyumba ya kimasikini isiyozidi million ishirini.
Walimu hawa sijui walimkosea nini mwenyezi Mungu. Jana Kuna mwalimu kalawiti mtoto wa darasa la tatu chooni, yani unafanya mapenzi kwenye vyoooo akili za walimu hizi dah.
Mwambie na yeye Kwa kuwa ni mwanasheria aposti za kwakeMimi ni mwl nina milioni 345.6