Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Kwanza niulize, hizo m 200 unamaanisha uwekezaji wake au m 200 zilizopo kwenye akaunti. Mpwayungu hao walimu waliopigika wako huko dar.. njoo vijijini huku kuna mwl yuko huku ana ng'ombe 1500, semi trailer moja na shamba la miti viberiti lenye miti 78,000 crdb walishamtembelea sana anawapiga chini kwa bei yao ndogo (naomba nisifungue code zake nyingi labda yuko humu)..
Sasa kuna walimu wengine huku kwetu wana vigest, maduka ya vifaa vya ujenzi, vigari vya passos, vitz kawaida tu nisijue akaunti zao zikoje.
Pia wapo wengine tulionao huku ambao tunawachukulia kuwa ni maskini tu ambao wewe ndio unawaona huko dar wana pikipiki boxer moja ya kwendea kazini, ana kanyumba kake hajapanga na ka shamba ka ekari tatu au mbili ka kulima mazao chakula ili kumaliza mwaka (we mpwayungu sijui ni kaka au dada maana ulitamani kuwa mwanamke unapotoa hoja za vipato vya walimu tunakucheki tu)
Ha ha huku tuna mwl ana miliki gereji, mashine za kusaga sasa ni utitiri.
 
Wapi katukana?

Onesha tusi hapo kwenye hoja ya mleta mada.

Vitendo vya ulawiti vimekithiri kwa walimu sijui ndo imani za kishirikina wanaamini ili wapandishwe madaraja kimazabe walau wapate kamshahara kingi kingi kidogo.

Watu wanaoaminiwa kuwa walezi wa watoto wawapo mashuleni badala yake wamekuwa walawiti.
Sio wote, usiwachafue
 
Nashuhudia wimbi la walimu kwenda kusoma sheria, daktari, uhandisi nk lakini sijaona tangu kuzaliwa kwangu mtumishi wa kada nyingine kama sheria na afya akasomee ualimu ili awe mwalimu.

Walimu mjitathimin, msipofanya mapinduzi kwenye sekta yenu nitawala za kichwa kila siku dadeki. Anzeni kudili na wakuu wa shule hao wanapandikizwa sumu kwenye vikao vyao halmashauri, baada ya hapo pondeni wasagike viongozi wote wa CWT, TUCTA, TSC namatokolinyo yote.

Lastly ingieni barabarani kufanya revolution ya kibabe ili mshinikize muanze kupewa teaching allowance
 
 
Kwahiyo ulisomea ualimu?

ila uko hapa unawaponda waalimu!

Wewe jamaa mbaya sana, uzuri ni mgogo, IQ yako ina walakini;
 
Unaongelea shule za Serikali wewe

Private wako mainjinia wanafundisha fizikia na hesabu,wako wachumi ,wako wahasibu wanafundisha masomo ya uchumi ns uhasibu nk kibao

Mleta mada nadhani unaongeleq za Serikali Private wapo kibao
 
Nashuhudia wimbi la walimu kwenda kusoma sheria, daktari, uhandisi nk lakini sijaona tangu kuzaliwa kwangu mtumishi wa kada nyingine kama sheria na afya akasomee ualimu ili awe mwalimu...
Acha hasira wewe kama uko vizuri hamia shule za private

Ila kule hawapokei viazi kama wewe kichwani kumejaa maji hawakuhitaji
 
Back
Top Bottom