Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #1,041
Hayana aibuWalimu badala ya kupambania maisha yao wajikwamue kwenye madeni wamekalia kuchapachapa watoto na ubakaji.
Mpfyuuuuuuuuuuuu zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayana aibuWalimu badala ya kupambania maisha yao wajikwamue kwenye madeni wamekalia kuchapachapa watoto na ubakaji.
Mpfyuuuuuuuuuuuu zao.
Anajua namba yako ya siri, una wazimu wewe eti ni account ya mwajiri unafikiri wote wamefungua kadi walipopata kaziHujui kitu, kumbe wewe jinga sana akaunti ya mshahara ni akaunti ya mwajiri sasa iwe na millioni 200 kwa nn asijiridhishe..
Kumbe uko local sana aisee nilijua unavyoponda walimu nikajua uko smart kwenye uelewa...
Yani hata nafsi yako inakusuta huwezi kujinasibu mbele za watu wewe ni Mwalimu.Kwamba kwa vile nimecomment for walimu basi nami mwalimu. Umesema kada zingine mnajielewa kweli? Wewe kada gani mkuu, manake naona bora hao walimu kuliko kada zenu mnazojisifu.
Kifupi, ungekuwa unajielewa usingefanya generalisation bila facts.
Yani hata nafsi yako inakusuta huwezi kujinasibu mbele za watu wewe ni Mwalimu.
Hakuna mwalimu mtanashati Tanzania hata awe na hizo pesa anazozisema Mpwayungu umeshawahi kujiuliza kwanini?
Walimu mnatia huruma sana
Umesema kweli mkuu,Dah mkuu machozi yamenilengalenga[emoji22]! Bila shaka upo kwenye idara ya utumishi WA halmashauri tena huenda kitengo cha walimu. Binafsi mm sio mwalimu ila Nina marafiki wengi walimu maana shida zao huwa wananiletea mimi kuhitaji msaada wa kisheria (naijua sheria kiasi tu) na kifedha, kama Nina fedha huwa nawapa Lakin ajabu ni kuwa hawa walimu ni waoga mweee yani unakuta namtembela kwenye Kota zao za utumishi wanazoishi na mkuu wa shule unakuta mkuu anatoka chumbani tena mda wa kazi umeisha anaenda kumwambia mwalimu mwenzake atoe lesson plan akague kumbuka ni nje ya mda yani anadai saa kumi jioni akiona lesson plan mbovu anamwambia akae aandike mda huo huo sio kesho tena
Walimu wanafundisha mpaka jumapili ila wanaambulia matusi na wakuu wao wa kazi wabaya ni hawa wakuu wa shule na AEK hawa watu ni nyoka wenye sumu. Sasa ajabu hawapandi madaraja wakifatilia kupanda kwao Kwa daraja wanaambiwa wasumbufu (kama ulivyosema), kupewa posho ya likizo ni mtiti yani asubiri baada ya miaka miwili ila viongozi wengine siku ya pili tu muamala unasoma
Ukija kwenye ruhusa na kuhama kituo cha kazi hapa staki ata kusema nitatukana Bure
kubisha hakukujengi, kubali umezingua ujifunze nidhamu Mkuu.mzee mimi nimejifundisha kwa asilimia 80 na hizo zilizobaki ni wazazi na walimu
Kama ww ulimezeshwa kila kitu na walimu siyo mm
Tembea uone,wapi Wana mahari ya milioni ishirini na majumba kibao ya kupangishaNAFUNGA UZI HUU KWA KUSEMA
TOKA NIZALIWE SIJAWAHI ONA MWALIMU MWENYE MAENDELEO ZAIDI YA BAISKELI NA PIKIPIKI
KATAA UALIMU NI WA HOVYOO
Hahaaa kumbe mpwayungu nae ni tichaMpwa ni tchaView attachment 2575858
Ndugu mpwayungu hivi ulifanikiwa kupata ajira ya ualimu au ulikosaHayana aibu
Hutaki wakiadhibiwa ? wakipotea kimaadili mtakuja tena kulaumu ,na suala la ubakaji lipo kila sehemu hujasikia daktari kabaka mgonjwa au kaomba rushwa ya ngonoWalimu badala ya kupambania maisha yao wajikwamue kwenye madeni wamekalia kuchapachapa watoto na ubakaji.
Mpfyuuuuuuuuuuuu zao.
We fala c ni mwalimu weweKwanini uwe muoga kwenye kudai haki zako? Ivi unajua uoga unafedhehesha zaidi ya umasikini. Basi niwaambie tu mimi nitawadharau nasitawasalimia mpaka mtakapoandamana kudai haki zenu
Walimu wengi wana miaka zaidi ya kumi kazini ila wakiomba uhamisho hawapewi na vigezo wanavyo, uhamisho wa kubadilisha pia ni mbinde majina yanatoka ila vibali havitoki, una Miaka kumi na mbili ila umepanda daraja Mara moja tu, pesa yako ya kujikimu mpaka Leo hujamaliziwa unapewa nusu nusu, mshahara wako wa kwanza mpaka Leo hujalipwa unadai malimbikizo hata mfuko wa shangazi kaja unajaa, mnakaa kwenye magofu, Mnaishi Kwa kutukanwa, mnapigwa biti na mkuu wa shule mnapwaya, Mnaishi Kwa huzuni kama yatima, mna madeni yasiyoisha, mishahara yenu niyamiaka kumi nyuma Dunia ya sasa kupewa laki tano ni matusi, hamna posho yoyote, hata kununua pikipiki tu mpaka ukope maana kusave million Tatu na Familia uliyonayo haiwezekani.
Walimu walimu please Mei mosi nataka muandamane, nataka walimu mdai haki zenu. Vinginevyo nitawadharau mpaka kufa mmekuwa waoga kama ngiri jamani.
Halafu pendaneni muwe kitu kimoja hakuna mapinduzi bila umoja. Mkuu wa shule akileta ukuda mpigeni spana za kutosha kwenye vikao vyenu mpaka ajihisi kajinyea
Acheni woga hakuna wakuwakomboa zaidi ya kujikomboa nyinyi wenyewe, lazima ifike wakati mseme enough is enough
Kwanini uwe muoga kwenye kudai haki zako? Ivi unajua uoga unafedhehesha zaidi ya umasikini. Basi niwaambie tu mimi nitawadharau nasitawasalimia mpaka mtakapoandamana kudai haki zenu
Walimu wengi wana miaka zaidi ya kumi kazini ila wakiomba uhamisho hawapewi na vigezo wanavyo, uhamisho wa kubadilisha pia ni mbinde majina yanatoka ila vibali havitoki, una Miaka kumi na mbili ila umepanda daraja Mara moja tu, pesa yako ya kujikimu mpaka Leo hujamaliziwa unapewa nusu nusu, mshahara wako wa kwanza mpaka Leo hujalipwa unadai malimbikizo hata mfuko wa shangazi kaja unajaa, mnakaa kwenye magofu, Mnaishi Kwa kutukanwa, mnapigwa biti na mkuu wa shule mnapwaya, Mnaishi Kwa huzuni kama yatima, mna madeni yasiyoisha, mishahara yenu niyamiaka kumi nyuma Dunia ya sasa kupewa laki tano ni matusi, hamna posho yoyote, hata kununua pikipiki tu mpaka ukope maana kusave million Tatu na Familia uliyonayo haiwezekani.
Walimu walimu please Mei mosi nataka muandamane, nataka walimu mdai haki zenu. Vinginevyo nitawadharau mpaka kufa mmekuwa waoga kama ngiri jamani.
Halafu pendaneni muwe kitu kimoja hakuna mapinduzi bila umoja. Mkuu wa shule akileta ukuda mpigeni spana za kutosha kwenye vikao vyenu mpaka ajihisi kajinyea
Acheni woga hakuna wakuwakomboa zaidi ya kujikomboa nyinyi wenyewe, lazima ifike wakati mseme enough is enough
Mungu anakuona[emoji23]Ticha umekunywa chai kweli? Inaonekana umekopa sana mshahara wako unakatwa kinoma[emoji23][emoji23]